Sikushauri uende kwa agent bila kwanza ya ku-calculate mwenyewe thru that web.Tafuta agenti atakayekusaidia ku-clear. Hao wanajua vizuri sana kuestimate. Alternatively, pitia website ya Tra, utapata walau estimate zinazokaribia na kodi halisi. Maadam umeamua kuchukua gari inazd miaka kumi, jiandae kukamuliwa na uchakavu.
Sikushauri uende kwa agent bila kwanza ya ku-calculate mwenyewe thru that web.
Nilishawahi kupata agent ambae kila alichokua akiambiwa na TRA alikua ananletea kama kilivo.
Yaani hajui hata calculation zaendaje. Ngoja hang-over zikiisha nkuchekie. Hujataja CC zake
tembelea website ya TRA, www,tra.go.tz kila kitu utakisoma hapo. vinginevyo subiri wadau watakupa mawazo zaidi
Tafuta agenti atakayekusaidia ku-clear. Hao wanajua vizuri sana kuestimate. Alternatively, pitia website ya Tra, utapata walau estimate zinazokaribia na kodi halisi. Maadam umeamua kuchukua gari inazd miaka kumi, jiandae kukamuliwa na uchakavu.
Nakushauri tafuta gari ambayo haizidi miaka 10 ya uchakavu usije kuikimbia ikiwa imefika na TRA wakakupa hesabu zako kulipia, cku hizi hakuna habari ya CC wala kuchakachua, inavyokuja wao wanaingiza CHASIS NUMBER TU kwny system yao, siku hizi system yote automated wala hakuna longolongo, kwa hiyo fanya ufanyavyo jipange ulete gari ya kuanzia mwaka 2003 na kuendelea!