Msaada shuru wa magari

Kapuku83

Senior Member
Sep 8, 2012
146
35
Wadau habari,samahanini,niko mbioni kuagiza gari toka Japan,gari nayotaka kuagiza ni ya mwaka 1999/2000 ni nissan Cefiro,naombeni msaada wenu kujua ushuru hapa nchini unakuaje kwa gari iliyozidi miaka 10
 
tembelea website ya TRA, www,tra.go.tz kila kitu utakisoma hapo. vinginevyo subiri wadau watakupa mawazo zaidi
 
Tafuta agenti atakayekusaidia ku-clear. Hao wanajua vizuri sana kuestimate. Alternatively, pitia website ya Tra, utapata walau estimate zinazokaribia na kodi halisi. Maadam umeamua kuchukua gari inazd miaka kumi, jiandae kukamuliwa na uchakavu.
 
Sikushauri uende kwa agent bila kwanza ya ku-calculate mwenyewe thru that web.
Nilishawahi kupata agent ambae kila alichokua akiambiwa na TRA alikua ananletea kama kilivo.
Yaani hajui hata calculation zaendaje. Ngoja hang-over zikiisha nkuchekie. Hujataja CC zake
 
Asante sana mktu,Cc ni 1800
 
Tafuta agenti atakayekusaidia ku-clear. Hao wanajua vizuri sana kuestimate. Alternatively, pitia website ya Tra, utapata walau estimate zinazokaribia na kodi halisi. Maadam umeamua kuchukua gari inazd miaka kumi, jiandae kukamuliwa na uchakavu.

Ndio mkuu najua lazima watanikamua sana kwenye uchakavu,ndio maana nimeweka wazi nipate mawazo yenu wadau ili niwe na mwanga kamili!
 
Nakushauri tafuta gari ambayo haizidi miaka 10 ya uchakavu usije kuikimbia ikiwa imefika na TRA wakakupa hesabu zako kulipia, cku hizi hakuna habari ya CC wala kuchakachua, inavyokuja wao wanaingiza CHASIS NUMBER TU kwny system yao, siku hizi system yote automated wala hakuna longolongo, kwa hiyo fanya ufanyavyo jipange ulete gari ya kuanzia mwaka 2003 na kuendelea!
 
Asante sana mkuu kwa kuni alert,itabidi nifanyie kazi ushauri wako!
 
Nakushauri tafuta gari ambayo haizidi miaka 10 ya uchakavu usije kuikimbia ikiwa imefika na TRA wakakupa hesabu zako kulipia, cku hizi hakuna habari ya CC wala kuchakachua, inavyokuja wao wanaingiza CHASIS NUMBER TU kwny system yao, siku hizi system yote automated wala hakuna longolongo, kwa hiyo fanya ufanyavyo jipange ulete gari ya kuanzia mwaka 2003 na kuendelea!

naomba nikuuliza kuhusiana na excemption kwa watumishi wa umma, je zipo au zipo, hazipo au ni kwa walimu peke yao?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom