silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,163
- 1,541
Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni.
Angalieni TRA tax calculator.
===
Angalieni TRA tax calculator.
===
January hii Huku kwenye kikotoo cha TRA Kodi za magari zimepanda maradufu, kabla ya kuagiza jiridhishe na Kodi usije ukatembea unaongea mwenyewe barabarani.
Ila ngoja niulize swali , hivi kwa uchumi wetu wa sasa kuna haja kweli ya kupandisha Kodi za kuingiza magari nchini?
Kusafirisha gari majini bei zipo juu sana almost USD 2000-2500 kwa gari la kawaida?
Kwa ninachokiona TRA watakosa hata hyo kodi waliyokuwa wanaikusanya kwa ajili ya Tamaa, maana kuagiza gari ni gharama sana Watanzania wengi hawataweza kuafford kuagiza magari kutoka japan au kwingineko, na mnyororo wa uchumi utatikisika, mawakala watakosa kazi , spea zitadoda mafuta yenyewe yatauzika kidogo sana , makampuni ya Bima yatafilisika kwani mara nyingi mtu anapoagiza gari ndo anakata Bima kubwa.
Serikali iangalie hili swala la kupandisha kodi hasa kwenye vifaa vya moto bila kuwashirikisha wadau sio vizuri.