Msaada nahitaji kusoma programming language short course

DGT Africa

New Member
Jun 3, 2023
4
1
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
 
Programming ni pana.
Na hakuna chuo kitakufundisha kuwa programmer.
 
Programming language ziko nyingi. Ukitaja ni language gani unataka kujifunza itakua ni rahisi kusaidiwa
 
Tafuta mtu akufundishe ulipie muda wake kama hutaki kusoma online.

Ngoja nikupe muongozo kidogo.. Programming (computer programming) ni kitendo cha kuipa maelekezo computer itekeleze jambo fulani. Ili kuweza kuiprogram computer utahitaji kutumia programming languages.

Kuna programming languages nyingi ila zote zina share concepts mfanano. Kwahiyo ukijifunza programming language moja ukaiweza vizuri inakuwa rahisi kujifunza programming language yeyote ile. Baadhi ya programming languages ni C, C++, Java, Python, Javascript, etc..

Kila programming language ina matumizi yake yaani ina eneo lake ambalo hufanya kazi kwa ufanisi. Mfano Python hutumika zaidi kwenye machine learning & AI, japokuwa unaweza itumia kufanya web development na mobile app development, etc. Javascript hutumika zaidi kufanya web development, C++ hutumika zaidi kutengeneza software zinazohitaji speed kubwa mfano games, operating systems, browsers, etc. Java hutumika kutengeneza android apps, etc.

Ushauri wangu, kabla ya kujifunza programming language, weka target ya kuingia kwenye field fulani. Mfano field ya kutengeneza websites (web development), Mobile Apps Development, Machine learning & AI, Backend Developer, Frontend Developer, Data scientist, Game development, etc.

Ukishafanya research ya field husika utajua ni language gani uanze kujifunza. Ila kama unataka ujifunze programming language yeyote pia sio mbaya mana unaweza kujifunza language nyingine hapo baadae kwa urahisi kabisa. Nakushauri anza kujifunza language yenye urahisi kidogo kama Python au Javascript ili usikate tamaa mapema.

Binafsi nilianza kujifunza python then nikajifunza language nyingine kiurahisi kabisa kama Javascript, Kotlin, Php, Dart, etc ila kwa sasa natumia zaidi Javascript na Dart. Kwasababu nafanya web development na mobile app development. Kila la kheri.
 
Tafuta mtu akufundishe ulipie muda wake kama hutaki kusoma online.

Ngoja nikupe muongozo kidogo.. Programming (computer programming) ni kitendo cha kuipa maelekezo computer itekeleze jambo fulani. Ili kuweza kuiprogram computer utahitaji kutumia programming languages.

Kuna programming languages nyingi ila zote zina share concepts mfanano. Kwahiyo ukijifunza programming language moja ukaiweza vizuri inakuwa rahisi kujifunza programming language yeyote ile. Baadhi ya programming languages ni C, C++, Java, Python, Javascript, etc..

Kila programming language ina matumizi yake yaani ina eneo lake ambalo hufanya kazi kwa ufanisi. Mfano Python hutumika zaidi kwenye machine learning & AI, japokuwa unaweza itumia kufanya web development na mobile app development, etc. Javascript hutumika zaidi kufanya web development, C++ hutumika zaidi kutengeneza software zinazohitaji speed kubwa mfano games, operating systems, browsers, etc. Java hutumika kutengeneza android apps, etc.

Ushauri wangu, kabla ya kujifunza programming language, weka target ya kuingia kwenye field fulani. Mfano field ya kutengeneza websites (web development), Mobile Apps Development, Machine learning & AI, Backend Developer, Frontend Developer, Data scientist, Game development, etc.

Ukishafanya research ya field husika utajua ni language gani uanze kujifunza. Ila kama unataka ujifunze programming language yeyote pia sio mbaya mana unaweza kujifunza language nyingine hapo baadae kwa urahisi kabisa. Nakushauri anza kujifunza language yenye urahisi kidogo kama Python au Javascript.

Thread closed
 
🪓
 
Back
Top Bottom