habari zenu jamani,modem ni mpya nimeistall lakini nikini nikifungua net inasema ni activate kwa product code and enter pin. sasa sijui producy key ni zipi na pin ni hipi. Maoba msaada
Pole....ungekuwa unatumia Linux kama mimi ningekupa maujanja.....ila subiri wataalam watakusaidia
hahahaha preta umenichekesha eti angetumia linux kama wewe. Mpe tu maujanja
anyway habari ya masiku?
Huo mkono wa avatar yako najaribu kuchungulia kwa makini uko sehemu gani vile.???? paja au kiuno na hiyo nyeusi ni nini?
teh teh teh
hi hi hi......mimi nilikukosa muda sana....ulikuwa umekwenda wapi?....he he.....hiyo avatar nikunong'oneze tu ila usimwambie mtu......(huyo ni mimi mwenyewe)
Avatar yako ina intend kuleta mfadhaiko, teh?Pole....ungekuwa unatumia Linux kama mimi ningekupa maujanja.....ila subiri wataalam watakusaidia
teh teh Haya bana we sawa tuuuuuuuuuu unajua ngoja tusopteze thread ya jamaa. Ulinikosa sababu napanga mashairi yenye vina vipya. teh teh teh . Mimi niko huku sana sana kwenye hili teke linalotujia
japo shida si yangu natamani nije kuleeeee unipe hayo maujanja ya ya "linux" teh teh Usimwambie mtu lakini
Avatar yako ina intend kuleta mfadhaiko, teh?
habari zenu jamani,modem ni mpya nimeistall lakini nikini nikifungua net inasema ni activate kwa product code and enter pin. sasa sijui producy key ni zipi na pin ni hipi. Maoba msaada
ahhhahah sasa badala ya kumnongoneza we umesema kwa sauti mpaka mimi nimesikia bana...eti mkono ndani ya two strip..lol!hi hi hi......mimi nilikukosa muda sana....ulikuwa umekwenda wapi?....he he.....hiyo avatar nikunong'oneze tu ila usimwambie mtu......(huyo ni mimi mwenyewe)
Can you please explain what is in that avatar of yours?jamani, jamani.......
ahhhahah sasa badala ya kumnongoneza we umesema kwa sauti mpaka mimi nimesikia bana...eti mkono ndani ya two strip..lol!
nunu moderm nyingine au weka ubuntu linux umalize kazi line yoyote kwa moderm yoyote ile mambo bwenyeeeeeeeeeeeeeee
ha ha....wewe nakujua ni mkareee wa haya mavituz, so hata hiyo Linux nataka unifundishe vizuri lakini nitakuja twisheni
Can you please explain what is in that avatar of yours?
twisheni njoo tu ma electroonic dearest . KALAMU ninayo tena IMECHONGWA we njoo na DAFTARI tu teh teh teh Tutafundishana HACKING na CRACKING
Ukitakaga kuwasha laptop yako uatumiaga kidole gani teh teh ?
Hmmm...mwalimu ndio tumeanza twisheni kabisa?......naomba nikija ndio nikuambie nawasha na kidole gani.....halafu ningependa tuanze na somo la Cracking, hilo la Hacking lifuate baadae......Kalamu uliyonayo ni Speedo?....huwa napenda kuandika na hiyo ndio inatoa mwandiko mzuri.....sitaki Bic