Msaada modem ya tigo inasumbua

mwalimu ndio tumeanza twisheni kabisa?......naomba nikija ndio nikuambie nawasha na kidole gani.....halafu ningependa tuanze na somo la Cracking, hilo la Hacking lifuate baadae......Kalamu uliyonayo ni Speedo?....huwa napenda kuandika na hiyo ndio inatoa mwandiko mzuri.....sitaki Bic

P thank u have made my day. God bless u technologicaly

Maskini girafe pole tumeteka uzi wako.
 
Pole sana!

Tatizo sio modem bali ni traffic jam kwenye network yao. tiGO kimeo, wameanzisha data services kwa bei ndogo tena unlimited; yaani haina kikomo cha kiasi cha data unachotumia. Inapotokea ukabrowse muda mrefu, modem inakata yenyewe na wakati mwingine inakuja message eti 'subscribe data package'.
Mwanzoni ilikuwa poa lakini tangu watu waijue imekuwa na msongamano mkubwa. Kama tiGO wanataka kukamata wateja, basi mafundi wao wafanyekazi kurekebisha capCITY ya system yao au watuwekee limit kama wanavyofanya providers wengine.

Bure ghali!
Mkuu hebu dadafua kidogo hapo kwenye rangi ya zambarau, ni bundle gani hiyo ya unlimited kwa bei chee, watu tuna masoftware ya kumwaga tunashindwa kupakuwa sababu ya vi mb uchwara
 
mwalimu ndio tumeanza twisheni kabisa?......naomba nikija ndio nikuambie nawasha na kidole gani.....halafu ningependa tuanze na somo la Cracking, hilo la Hacking lifuate baadae......Kalamu uliyonayo ni Speedo?....huwa napenda kuandika na hiyo ndio inatoa mwandiko mzuri.....sitaki Bic

Preta y are u so sweet is ur reply? Mh mmeo anafaidi? Its always amazing Huwa naacha kufuatilia mada nafuatilia unavyou respond hongera mama
 
Back
Top Bottom