Msaada jinsi ya ku activate window 10 Pro

Hr01

Member
Jun 15, 2021
35
38
Habari zenu wapendwa. Naomba msaada wenu ktk hili kwa wale wataalam wa mambo ya computer kwenye software.

Nime download window 10 pro nikaiweka kwa flash nikainstall kwa computer lkn baada ya hapo inahitaji product key ili window iwe activated nimeitafuta hiyo product lkn sijaipata sasa naomba nipeni njia nyingine ya ku activate hii window mana sina hiyo product key yake au nipei mbinu ya kuipata.

Asanteni

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nenda youtube kuna maelekezo kwa vitendo. Mimi mwaka 2019 nilitumia maelekezo ya youtube.
 
Ni download kwenye computer humo humo? Hiyo kms icon yake ikoje mkuu maana ukitafuta kitu google inakuletea vitu vingi vyenye jina kama hilo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Download kwenye computer. Lakini kwanza zima antivirus au windows defender.

 
Habari wana jamii forums
Msaada kwa mwenye WINDOW 10 ACTIVATION KEYS ili niweze kuactivate window yangu
Nitashukuru kwa msaada wenu
 
Habari wana jamii forums
Msaada kwa mwenye WINDOW 10 ACTIVATION KEYS ili niweze kuactivate window yangu
Nitashukuru kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom