Msaada modem ya tigo inasumbua

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
601
182
habari zenu jamani,modem ni mpya nimeistall lakini nikini nikifungua net inasema ni activate kwa product code and enter pin. sasa sijui producy key ni zipi na pin ni hipi. Maoba msaada
 
Pole....ungekuwa unatumia Linux kama mimi ningekupa maujanja.....ila subiri wataalam watakusaidia
 
hahahaha preta umenichekesha eti angetumia linux kama wewe. Mpe tu maujanja

anyway habari ya masiku?
Huo mkono wa avatar yako najaribu kuchungulia kwa makini uko sehemu gani vile.???? paja au kiuno na hiyo nyeusi ni nini?

teh teh teh
 
kwenye box lake hawakukuwekea product code? wapigie tigo customer care watakupa maelekezo......ni kama ya ttcl unapewa product code na pin code to finish up installation nadhani itakuwa ni hivyo
 
hahahaha preta umenichekesha eti angetumia linux kama wewe. Mpe tu maujanja

anyway habari ya masiku?
Huo mkono wa avatar yako najaribu kuchungulia kwa makini uko sehemu gani vile.???? paja au kiuno na hiyo nyeusi ni nini?

teh teh teh

hi hi hi......mimi nilikukosa muda sana....ulikuwa umekwenda wapi?....he he.....hiyo avatar nikunong'oneze tu ila usimwambie mtu......(huyo ni mimi mwenyewe)
 
teh teh Haya bana we sawa tuuuuuuuuuu unajua ngoja tusopteze thread ya jamaa. Ulinikosa sababu napanga mashairi yenye vina vipya. teh teh teh . Mimi niko huku sana sana kwenye hili teke linalotujia

japo shida si yangu natamani nije kuleeeee unipe hayo maujanja ya ya "linux" teh teh Usimwambie mtu lakini
 
ha ha....wewe nakujua ni mkareee wa haya mavituz, so hata hiyo Linux nataka unifundishe vizuri lakini nitakuja twisheni
 
habari zenu jamani,modem ni mpya nimeistall lakini nikini nikifungua net inasema ni activate kwa product code and enter pin. sasa sijui producy key ni zipi na pin ni hipi. Maoba msaada

Pole sana!

Tatizo sio modem bali ni traffic jam kwenye network yao. tiGO kimeo, wameanzisha data services kwa bei ndogo tena unlimited; yaani haina kikomo cha kiasi cha data unachotumia. Inapotokea ukabrowse muda mrefu, modem inakata yenyewe na wakati mwingine inakuja message eti 'subscribe data package'.
Mwanzoni ilikuwa poa lakini tangu watu waijue imekuwa na msongamano mkubwa. Kama tiGO wanataka kukamata wateja, basi mafundi wao wafanyekazi kurekebisha capCITY ya system yao au watuwekee limit kama wanavyofanya providers wengine.

Bure ghali!
 
hi hi hi......mimi nilikukosa muda sana....ulikuwa umekwenda wapi?....he he.....hiyo avatar nikunong'oneze tu ila usimwambie mtu......(huyo ni mimi mwenyewe)
ahhhahah sasa badala ya kumnongoneza we umesema kwa sauti mpaka mimi nimesikia bana...eti mkono ndani ya two strip..lol!
 
nunu moderm nyingine au weka ubuntu linux umalize kazi line yoyote kwa moderm yoyote ile mambo bwenyeeeeeeeeeeeeeee
 
ha ha....wewe nakujua ni mkareee wa haya mavituz, so hata hiyo Linux nataka unifundishe vizuri lakini nitakuja twisheni

twisheni njoo tu ma electroonic dearest . KALAMU ninayo tena IMECHONGWA we njoo na DAFTARI tu teh teh teh Tutafundishana HACKING na CRACKING

Ukitakaga kuwasha laptop yako uatumiaga kidole gani teh teh ?
 
mwalimu ndio tumeanza twisheni kabisa?......naomba nikija ndio nikuambie nawasha na kidole gani.....halafu ningependa tuanze na somo la Cracking, hilo la Hacking lifuate baadae......Kalamu uliyonayo ni Speedo?....huwa napenda kuandika na hiyo ndio inatoa mwandiko mzuri.....sitaki Bic
 
Hmmm...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom