namimi07
Member
- Oct 27, 2018
- 45
- 51
Jamani habari zenu wadau?
Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza? Naombeni Masada. Magwiji wa kuwithdraw/kutoa pesa kutoka kwenye account zao za forex hadi Benki/ Mpesa, Tigo Pesa naombeni msaada. Maana issue sio kudeposit tu. Kingine ni kuwa niliambiwa lazima nifungue bank account na ma benki ya nje mf: standard chartered, KCB etc ili nisipate usumbufu kwakuwa benki kama CRDB huwa ni wasumbufu. Mbona wakati wa kudeposit Nilikuwa naweka pesa kirahiiisi mfyuu.
Haya jamani, ntashukuru kwa michango yenu