Msaada kuhusu SAUT

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jmn naomben msaada kuhusu hk chuo cha SAUT mwanza, ni kwamba mm nimechaguliwa pale SAUT,
na hapa nilipo cna pa kuanzia, niko wilaya ya magu mwanza na nimejpanga kesho kwenda chuon ili nikapate mwanga, kama kuna m2 anajua utaratibu naomba anifumbue macho
je nifanyeje?
Na je masomo yataanza lin? Labda naweza kuwa nimechelewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom