Msaada kuhusu barua ya posa

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Ndugu wanajf wa jinsia ya kiume naombeni msaada wenu juu ya kuandika barua ya posa,je ni maneno gani huandikwa ndani ya barua ya posa na pia muundo wake ukoje?natumaini wanaume wenzangu wanao jua hili suala watanifahamisha.
 
Ngoja niperuzi kwenye maktaba ya babu yangu maana yeye alikuwa ni mshenga maarufu huko Kiburugwa....

Lakini kabla sijaja na majibu hebu nieleze unaposa kiislamu, kikristo, au kipagani?
 
Huko hakuna USAHILI mkuu jiyupe tu kwa convicing ya ajabu full kuonyesha u are a responsible man. Muundo piga tu ka MEMO halafu utanambia majibu yake.

Ila kawaone siku hizi mambo ya barua si lazima kaka, wakikuona mambo mengine yanakamilika katika ujio tu.
 
NImekutana na hii.... sijui yaweza kusaidia....?

first%20love%20latter.jpg
 
Dah kwenda kuposa mwanamke ni sanaaa,,,,
kwanza nidokeze kabila na dini ya umposae then nikupe structure ya barua na formula ya namna yakuwasilisha barua hyo........
 
Ngoja niperuzi kwenye maktaba ya babu yangu maana yeye alikuwa ni mshenga maarufu huko Kiburugwa....

Lakini kabla sijaja na majibu hebu nieleze unaposa kiislamu, kikristo, au kipagani?

naposa kikristo na mtoto mwenyewe ni wa kingoni ameniambia kuwa kwao kabla ya kwenda kujitambulisha inabidi itangulie barua ya posa kwanza.
 
Kama ni Mngoni basi nenda kwenye web ya Bunge la TZ utafute contact za Mheshimiwa Kapteni Komba wa TOT, anaweza kuwa hata Mshenga wako kama ukiongea naye vizuri, wala usiumize kichwa tafuta Wangoni maarufu uwatangulize utalamba dume wallah....
 
Dah kwenda kuposa mwanamke ni sanaaa,,,,
kwanza nidokeze kabila na dini ya umposae then nikupe structure ya barua na formula ya namna yakuwasilisha barua hyo........

kabila ni mngoni na dini ni mkristo,nasubiria kaka.
 
Dah kwenda kuposa mwanamke ni sanaaa,,,,
kwanza nidokeze kabila na dini ya umposae then nikupe structure ya barua na formula ya namna yakuwasilisha barua hyo........

Haya mambo yamepitwa na wakati, ukiweka masharti ya barua, binti yako atakudodea hapo au wanaweza kummimbisha nakukuachia vijukuu. kama mwanangu Ngina anapata mchumba mie wala sitoremba, nataja mahari, nachukua changu.. harusi watafanya wenyewe..... Chezea Mtambuzi weye
 
Ukiomba msaada hapa kuandika barua ya posa sitashangaa wajanja wakikusaidia mpaka "kumjua" mkeo.
 
Barua ya posa inaandikwa na mshenga na siyo muowaji. inshort haya hayakuhusu ni kimbelefront tu kinakusumbuwa. by the way hongera kwa kuwa na nia ya kuoa sikudhani kama bado kuna watu wanafikiria tena kujitafutia matatizo.
 
Duu! hivi kuoa ni kujitafutia matatizo kwa hiyo ww Matola huna mke na hutokuja kuoa?
 
Back
Top Bottom