Nimepeleka barua ya posa juzi juzi halafu danga la mtaa linajitokeza na kudai kuwa lina mimba yangu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).

Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.

Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga fulani ambalo lilikuwa likinipa huduma karibu na bure kila ninapokuwa na kiu likiniarifu kuwa lina ujauzito.

Sijapokea wala kujibu simu/sms zake. Wadau naombeni msaada wa kimawazo natokaje ktk hili?
 
Huyo anakupima imani, huenda amesikia unataka oa ndio anatest zari…Endelea na mipango yako
 
penye mazao hapakosi magugu.danga kashtukia chezo yani utelezi wake utumie tu alafu ukachumbie sehemu nyengine.
 
Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).

Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.

Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga fulani ambalo lilikuwa likinipa huduma karibu na bure kila ninapokuwa na kiu likiniarifu kuwa lina ujauzito.

Sijapokea wala kujibu simu/sms zake. Wadau naombeni msaada wa kimawazo natokaje ktk hili?
Tatizo sexless
 
Kama ni yako mbona anayo yeye mwanaume tumia akili wewe ikiwezekana mwambie akupe mimba yako
 
Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).

Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.

Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga fulani ambalo lilikuwa likinipa huduma karibu na bure kila ninapokuwa na kiu likiniarifu kuwa lina ujauzito.

Sijapokea wala kujibu simu/sms zake. Wadau naombeni msaada wa kimawazo natokaje ktk hili?
Mimba ni baraka mpe hongera sana na muombee malezi mema
 
Back
Top Bottom