Msaada katika "public Admistratio"

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Nimemaliza six mwaka huu wana jf naombeni ushauri katika kozi hii ya public Admistration ambayo ningependa kuisoma mzumbe unversity, ila mbali na hapo huwa nasikia kozi hii watu wanachukua km masterz tu so ningependa mwenye ujuzi anieleweshe hapo. Here is my number 0762352746.Nimepata DIV 2 HGL.
 
Back
Top Bottom