Habari waungwana, mimi ni mgeni humu
ila nina tatizo, ni kwamba nimepatwa na hali kama week sasa, ya kuwa na hamu ya kujamiiana wakati wote,yani mind yangu hata nikiwa sehemu isiyohusika gafla tu napata hamu.
Nimejitahidi kucontrol mawazo yangu ila nahisi ni tatizo hili, maana inatokea kwa namna ambayo haizuiliki popote pale, na pia hata nikisex siridhiki.
pia huwaga nakaa hata mwezi sijakutanana mwanaume,ikipungua week2
kabla ya hapo tangu nmeanza mahusiano sikuwahi kuwa hivi hamu ya sex hunipata ninapokua na mpenzi sio wakati wote pia naridhika.
Tafadhali naomba kwa anaejua tiba anifahamishe mara ya kwanza nilienda hospital wakasema ni mindset naweza kujiponya ila naona nashindwa kwakweli, isitoshe sijawahi kujisikia hivo hata mara moja nahisi kuchanganyikiwa wakati mwingine.
Asanteni
mimi ni mwanammke