Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

hiyo hali inaitwa fetish
wanawake huwakumba sana hasa wa kizungu.huku africa sababu kidogo tamaduni zetu ziko ndani sana basi ni ngumu kujua ila pia wapo.hiyo inatokea hadi mwanamke anafungwa kamba kama malaria imepanda kichwani
 
Kapimwe chemical composition ya mwili wako wataalam watakushauri. Usikute kuna hormone imbalance . Pesana
 
Huna matatizo yoyote na wala hali hii isikutie wasi wasi hata chembe. Na wala usiguse dawa yoyote ile ili uondokane na hali hii ya kusikia genye kupita kiasi. Libido inatofautiana kati ya mtu na mtu usijipe pressure bure kwa kitu ambacho ni cha kawaida sana kwa wanawake wengi.
 
Mwambie jamaa atumie Kasongo ile dawa ya Congo.Nadhani baada ya hapo sidhani hizo hisia zitaendelea
 
Kwanza pole sana kwa tatizo lako.. Pili na tatizo lako ni dogo sana kwa tiba moja tuu ambayo ni kuacha anasa za dunia na kumrudia muumba wakk hiyo ni nji ya mungu kukuita umrudie
 
hello!
mrejesho.

Lile tatizo nashukuru Mungu limeisha sasa niko vizuri.
ila wakati mnanishauri kuna waliosema kuwa nampenda sana mwanaume wangu ndio imepelekea saikolojia yangu kuwa vile.
sasa tiba niliojipa ni kuchange mind
ninapotaka kumuwaza yule mwanaume nawazia vitu vingine
japo ilikua ngumu ila niliweza baada ya kuona anazidi kunisababishia matatizo
nikaanza kumtoa moyoni..
nikaweza.
sasa baadaya ya kumtoa nikaanza kumuona wa kawaida feeling nae hata kukaa nae naona uvivu
yani mwanzo alikua ananitetemesha nikimkosea
lakini nmekua sina hofu nae kabisa..
mpaka nafikia hatua ya kuona its ok hata tukiachana yani amenitoka moyoni..
sasa najiuliza ni kawaida mtu kumtoa moyoni namna hii
halafu kusema nimpende tena moyo umekua mzitoo..
je ni kawaida? au tiba ya saikolojia niliojipa iliniathiri?
maana niliona yeye ndo chanzo cha yote!
 
Back
Top Bottom