buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 1,997
- 7,068
Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi
Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo
Tatizo lilianzia pale ambapo tulijiona tunawahi kufika mwisho kabla ya wapenzi wetu jambo ambalo lilitufanya tuombe ushauri Kwa marafiki zetu ama watabibu iwe Kwa njia ya Siri ama direct
Nao walitushauri tukiona tunataka kukojoa tujitahid kuondoa hisia wakati wa mnyanduano Ili kuweza kukichelewesha Kwa makusudi.
Tulipojaribu somehow ilileta ahueni Fulani pasipokujua tunajitengenezea bomu siku za mbeleni.
Tuliambiwa ukiwa ndani na mwenza wako hata kama amenona vipi wewe poteza mawazo Ili uweze kufaidi maana ukipaparika tu kitendo Cha kuingiza unakuta tayar umemaliza
Tulivyolazimisha kuondoa hisia ubongo nao ukakubali shinikizo letu kwamba hiki sio kitu Cha kustua ni kitu Cha kawaida tu achana nacho
At the end hisia nazo zimepotea mazimaaaaaaa inasimama Kwa mbinde
Ili kutibu tatizo kuanzia sasa inabidi kuurejesha ubongo kwenye Ile hali ya mwanzo, jitahid kutojizuia kumaliza pia ruhusu kutamani maungo ya mwenza wako
Hata kama huchukui dakika Moja wewe jiachie tu IPO siku baada ya kumaliza Ile ya kwanza chap itaanza kusimama yenyewe ikidai haijatosheka iendelee kufaid uzuri wa kile macho inakiona.
usijione kwamba wewe ni wakumaliza haraka hata sisi unaotuona tunavimba mtaani tupo ivo ivo ila hatuwezi kusema ukweli wa Yale tunayopitia, hao wanaosifiwa kwamba wanadumu Kwa muda mrefu ni wale ambao hawajaruhusu kuizuia hisia juu ya wapendwa wao, na wengine hutumia madawa ambayo kiuhalisia tunawahesabia siku tu mambo yao yatakua hadharani
Ukiona unafika dakika Moja ujue IPO siku zitafika dakika mbili na IPO siku dakika kumi ila kikubwa ni uwe na hisia tu
Wanawake nao wanachangia Kwa upande wao Kwa kutunanga kwenye jamii juu ya Yale wanayoyataka ilhali hawajui wanatusababishia msongo wa mawazo na kupelekea kukata tamaa na kujiona hatuwezi