Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

mwampwani

Member
Oct 23, 2016
18
8
Habari waungwana, mimi ni mgeni humu
ila nina tatizo, ni kwamba nimepatwa na hali kama week sasa, ya kuwa na hamu ya kujamiiana wakati wote,yani mind yangu hata nikiwa sehemu isiyohusika gafla tu napata hamu.

Nimejitahidi kucontrol mawazo yangu ila nahisi ni tatizo hili, maana inatokea kwa namna ambayo haizuiliki popote pale, na pia hata nikisex siridhiki.

pia huwaga nakaa hata mwezi sijakutanana mwanaume,ikipungua week2
kabla ya hapo tangu nmeanza mahusiano sikuwahi kuwa hivi hamu ya sex hunipata ninapokua na mpenzi sio wakati wote pia naridhika.

Tafadhali naomba kwa anaejua tiba anifahamishe mara ya kwanza nilienda hospital wakasema ni mindset naweza kujiponya ila naona nashindwa kwakweli, isitoshe sijawahi kujisikia hivo hata mara moja nahisi kuchanganyikiwa wakati mwingine.

Asanteni
mimi ni mwanammke
 
habari waungwana, mimi ni mgeni humu
ila nina tatizo, ni kwamba; nimepatwa na hali kama week sasa, ya kuwa na hamu ya kujamiiana wakati wote,yani mind yangu hata nikiwa sehemu isiyohusika gafla tu napata hamu.
nmejitahidi kucontrol mawazo yangu ila nahisi ni tatizo hili, maana inatokea kwa namna ambayo haizuiliki popote pale, na pia hata nikisex siridhiki.
pia huwaga nakaa hata mwezi sijakutanana mwanaume,ikipungua week2
kabla ya hapo tangu nmeanza mahusiano sikuwahi kuwa hivi ,hamu ya sex hunipata ninapokua na mpenzi. sio wakati wote ,pia naridhika.
Tafadhali naomba kwa anaejua tiba anifahamishe.mara ya kwanza nilienda hospital wakasema ni mindset naweza kujiponya ila naona nashindwa kwakweli, isitoshe sijawahi kujisikia hivo hata mara moja nahisi kuchanganyikiwa wakati mwingine.

Asanteni
mimi ni mwanammke
Ni hali ya kawaida ukiwa na mwanamme unayempenda.
Mwanamke anakuwa driven na Chemical released mwilini, mwanamme anakuwa driven na physical appearance ya mwanamke
 
Ilo tatizo ni kwamba hujalitatua na hamna dawa zaidi ya kugegedwa adi uridhike..ineonyesha umegegedwa ndio lakini umeonjeshwa tu na ham haijaisha..nenda kwa wanaume wa mikoani..kikisuguliwa vzuri hamu itaisha tu..
 
asante kwa jibu.
kidogo umenipa mwongozo
nini tiba sasa niwe normal maana naishi kama mgonjwa nashindwa kufanya mambo yangu
 
Ilo tatizo ni kwamba hujalitatua na hamna dawa zaidi ya kugegedwa adi uridhike..ineonyesha umegegedwa ndio lakini umeonjeshwa tu na ham haijaisha..nenda kwa wanaume wa mikoani..kikisuguliwa vzuri hamu itaisha tu..
hata nikigegedwa usiku kucha
mchana inaanza tena.
sasa mara ya kwanza ilinidrive nikawa nachanganyikiwa kabisa
 
That is psychological source point of view....
Unajua brain ina uwezo wa kuamsha hisia zozote zile if trainde under any conditios.....
It works like alarm when sets....ukiisert mind yako kuamka kila siku saa kumi na moja unaenda kazini utazoea kuamka saa kumi na moja kila siku hata kama alarm haijalia....so hata brain nayo under circadian rrythm by pineal gland which secrets serotonin hormes itacontrol kila kitu aroused at a continous motion associated with specific desire...

Brain activities are controld under input fro serotonin released by pineal gland...ndo mana kadri unavozid kupungikiwa serotonin ndipo akili yako inakosa mental balance na ni serotonin hormen ile ile inayocontrol sexual arouse in relation to mind set position...so njia pekee ya kuzuia hiyo kitu ni self training to abort the neural imput to pineal gland .....hivyo bas triggeeing factors ni hisia so contro hisia jarib kila ukipata wazo la kufanya sex jarib kulihamisha fasta kwa kuingiza wazo jingine kabsa either ingizawazo la ""kwanini mimi ni maskini" gafla utadevelop another mind ya maisha ambayo itasuppress sexual desire....unless other wise hutaweza kujizuia na ukifanya hivo utakuwa umetoa hiyo kitu..but it must a continous process.....
Mind set disorders mara nying zinahiyaj self jitihad za kisaikolojia huwa ni ngumu kutoka kama itakuwa imetawala kwa muda mrefu..ni sawa sawa na kumwambia mpiga punyeto alayekubuh aache mara moja...pale ni ngumu....inahitaj self jitahad na training za luwa unaanza kuhate that situation badae unajithatiti lazima utaacha tu....so my dear control hisia zako kwa kuingiza mambo mengine ya kujishusha ili yakupe nguvu ya kuhat situation uliyonayo then hope utaregain from normal condition....
 
Usijiendekeze sana.
Mapenzi ni hisia, usiendekeze sana hisia.
*jaribu kufuatilia aina ya vyakula, vinywaji na matunda unavyokula.
*fanya mazoezi mara kwa mara
*kuwa biz na kazi au shughuli itakayokuchukua muda mwingi.
*Usipendelee kuangalia movie/picha za ngono, kuchat maneno ya mapenzi mapenzi, au oral sex kupigiana simu na kuongea story za sex.
 
habari waungwana, mimi ni mgeni humu
ila nina tatizo, ni kwamba; nimepatwa na hali kama week sasa, ya kuwa na hamu ya kujamiiana wakati wote,yani mind yangu hata nikiwa sehemu isiyohusika gafla tu napata hamu.
nmejitahidi kucontrol mawazo yangu ila nahisi ni tatizo hili, maana inatokea kwa namna ambayo haizuiliki popote pale, na pia hata nikisex siridhiki.
pia huwaga nakaa hata mwezi sijakutanana mwanaume,ikipungua week2
kabla ya hapo tangu nmeanza mahusiano sikuwahi kuwa hivi ,hamu ya sex hunipata ninapokua na mpenzi. sio wakati wote ,pia naridhika.
Tafadhali naomba kwa anaejua tiba anifahamishe.mara ya kwanza nilienda hospital wakasema ni mindset naweza kujiponya ila naona nashindwa kwakweli, isitoshe sijawahi kujisikia hivo hata mara moja nahisi kuchanganyikiwa wakati mwingine.

Asanteni
mimi ni mwanammke
Pole san, like others said , hii n mindset problem. This might help," jrb kutengenez ratib amby itakufany uwe busy most of the the time, pia anza kufny some exercises, by doing this kwa muda itasababsh brain yko iwez ku adapt ktk huo mfum wako mpya , hii itakusaidia kwa kias kikubw san kupunguz hilo tatiz lako "
 
Niliwahi kuugua huu ugonjwa na nikaenda sehemu nikapona maana huwapata hata wanaume nitafute nikupeleke nilipoponea
 
That is psychological source point of view....
Unajua brain ina uwezo wa kuamsha hisia zozote zile if trainde under any conditios.....
It works like alarm when sets....ukiisert mind yako kuamka kila siku saa kumi na moja unaenda kazini utazoea kuamka saa kumi na moja kila siku hata kama alarm haijalia....so hata brain nayo under circadian rrythm by pineal gland which secrets serotonin hormes itacontrol kila kitu aroused at a continous motion associated with specific desire...

Brain activities are controld under input fro serotonin released by pineal gland...ndo mana kadri unavozid kupungikiwa serotonin ndipo akili yako inakosa mental balance na ni serotonin hormen ile ile inayocontrol sexual arouse in relation to mind set position...so njia pekee ya kuzuia hiyo kitu ni self training to abort the neural imput to pineal gland .....hivyo bas triggeeing factors ni hisia so contro hisia jarib kila ukipata wazo la kufanya sex jarib kulihamisha fasta kwa kuingiza wazo jingine kabsa either ingizawazo la ""kwanini mimi ni maskini" gafla utadevelop another mind ya maisha ambayo itasuppress sexual desire....unless other wise hutaweza kujizuia na ukifanya hivo utakuwa umetoa hiyo kitu..but it must a continous process.....
Mind set disorders mara nying zinahiyaj self jitihad za kisaikolojia huwa ni ngumu kutoka kama itakuwa imetawala kwa muda mrefu..ni sawa sawa na kumwambia mpiga punyeto alayekubuh aache mara moja...pale ni ngumu....inahitaj self jitahad na training za luwa unaanza kuhate that situation badae unajithatiti lazima utaacha tu....so my dear control hisia zako kwa kuingiza mambo mengine ya kujishusha ili yakupe nguvu ya kuhat situation uliyonayo then hope utaregain from normal condition....
nashukuru sana kwa ushauri.Mwenyezi Mungu akubariki sana
 
Usijiendekeze sana.
Mapenzi ni hisia, usiendekeze sana hisia.
*jaribu kufuatilia aina ya vyakula, vinywaji na matunda unavyokula.
*fanya mazoezi mara kwa mara
*kuwa biz na kazi au shughuli itakayokuchukua muda mwingi.
*Usipendelee kuangalia movie/picha za ngono, kuchat maneno ya mapenzi mapenzi, au oral sex kupigiana simu na kuongea story za sex.
asante sana pia kwa ushauri,nmeshauriwa hivo pia hospital
halafu pia naumwa maralia imenishika kula tatizo kwangu
na pia nmechelewa kupata period nimepitisha kama siku 10 soon ntapima ujauzito. sasa zile hisia ambazo hutupata tukikaribia period ndio zikadevelod
 
Pole san, like others said , hii n mindset problem. This might help," jrb kutengenez ratib amby itakufany uwe busy most of the the time, pia anza kufny some exercises, by doing this kwa muda itasababsh brain yko iwez ku adapt ktk huo mfum wako mpya , hii itakusaidia kwa kias kikubw san kupunguz hilo tatiz lako "
nashukuru sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom