Msaaada

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
great thinkers laptop yangu,dell inspiron,window 7,ina shida,hapo mwanzo nilikuwa na play dvd na cd,lakini sasa ukiweka dvd haiitambui(mlango wa cd unafunguka dvd inatoka) ila vcd,cd inaplay kama kawaida,nifanye nn kutatua tatizo hili??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom