Mkasa: Rafiki yangu alipogeuka Yuda Iskariote

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,361
9,235
Leo nimekumbuka mkasa huu nikawa nacheka sana. Ingawa imepita miaka karibia mitano hivi lakini ntajitahidi kusimulia tukio jinsi lilivokua pale KGB ilikupokumbana na ujasusi wa CIA. Moto uliwaka.

NB; Majina ntakayotumia humu sio halisi ili kuficha ID yangu.

Usiku mmoja nikiwa katika harakati za kwenda kumvizia manzi wangu upande wa pili kuna watu walikua bize kufatilia kwa karibu kila hatua nayopita mbaya zaidi sikiwa na habari hivo walifanikiwa kwa asilimia 99.9 katika mbio zao za ujasusi.

Nakumbuka ilikua kama saa tano na dakika kadhaa nikiwa kwenye shamba la mahindi niliisogelea nyumba aliyokua akiishi yule manzi niliona vyema mwanga ukitoka sebuleni mwao kuashiria kua walikua wakiangalia TV kwani kwa mbali nilisikia sauti ya vicheko ilikua ikifatana na matukio kadhaa yaliyokua yakiendelea kwenye movie yaliyokua wakiitazama.

Nilipiga simu na hazikupita hata sekunde tano ile simu ilipokelewa nilimpa taarifa aliyeipokea kua tayari nimeshafika alijibu jibu moja tu nakuja kisha akakata simu. Mwili ulinisisimka sana maana tamaa ya ngono ilikuwa imewaka juu ya mwili wangu na hata jogoo alianza kuwika kwenye suruali kuashiria kua kumekucha!

Wakati nikizidi kufurahi na kuwaza namna ntakavokula tunda japo sio kimasikhara, ghafla nikasikia mitikisiko ya majani ya mahindi kuashiria kua kuna kiumbe hai kilikua kinapita, mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi na kuanza kutabiri majibu ya mjongeo ule.

Kwanza nilihisi labda ni mbwa lakini nikapuuzia maana angekua mbwa lazima angembweka lakini pia kilichonidhibitishia kua sio mbwa ni baada ya kumulika na tochi nilishia kusikia vishindo vya mtu akikimbia kwa kasi, Loh! Roho yangu ilishituka sana nikahisi huenda labda alikua mwizi wakati najiandaa kuchunguza zaidi kuhusu tukio lile ghafla simu yangu ikaita kumbe alikua Pendo,

Ndio huyo manzi niliekua nimekuja kumuwinda alikua kavaa kanga na sweta haloo kutokana na hamu niliyokua nayo juu ya huyu mrembo ukizingatia alikua ni binti mbichi kabisa chuchu saa sita na ule weupe wake na wowowo lakutetema dah! Nikasahau tukio na mtu aliekimbia kwenye mahindi ikabidi nideal na Pendo. Hao tukawahi kwenda ghetto kwangu. Hilo ndo kosa nililolifanya na nilikuja kujutia baadae bora ningemkimbiza adui yangu but it was too late.

Pale kijijini kwetu hakuna ambae alikua hanijui (sio kijijini kiivo but ni senta flani hivi ambayo imechanganyia sana japo siwezi kupaita mjini). Jina langu lilikua maarufu sana hata mtoto mdogo alieanza kuja pale senta kununua biskuti lazima tu alikua ananijua, cha ajabu wengi hawakua wakilijua jina langu halisi ila waliniita Ema CD.

Hii ilitokana na kazi yangu ya kuburn miziki. Aisee hii kazi ilinipa sana umaarufu kupitiliza. Mademu wakali pale senta walinizengea sana hasa ukizingatia nilikua yanki mwenye chapaa za kuwawezesha kula chipsi na kutatua shida ndogondogo wengi walijilengesha sana wengine tu wakitaka kuwa nami ili kuwatambia wenzao (wanawake wana mambo sana) basi ilikua vurugu mechi.

Hata huyo Pendo alikua ni rafiki wa demu wangu flani hivi na yeye mwenyewe ndo alionesha ishara kua anataka kuliwa so hata nilipomtokea sikupata upinzani kama wa Russia kwa Ukraine. Lakini sikujua kua ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu laiti ningejua.

Basi baada ya kumchukua Pendo tukazama hadi ghetto full kunyanduana ingawa mtoto alikua ni teenager lakini alikua na balaa sana sio siri niliinjoi mapenzi to the fullest. Ilipotimu mida ya saa 11 alfajiri nilimrudisha kwao kisha mi nikarudi ghetto kulala. Basi life likaendelea kama kawa, nakumbuka siku hiyo mchana alikuja kunitembelea kazini rafiki yangu kipenzi tumuuite Eddy. Baada ya salamu za hapa na pale tulianza kupiga stori nyingi tu jamaa akawa anaisifia sana laptop niliyokua nafanyia kazi kua ni mashine hatari sana na akaapa akivuna mahindi yake lazima na yeye anunue PC Kali kama ile.

Jamaa yangu huyu walikua mkulima hatari sana maana nakumbuka kipindi hicho alikua amelima kama heka 4 hivi za mahindi na yalikua yametoka sana. Tukawa tunacheka tena akagusia kwamba yeye wala hatanunua dukani coz kuna rafiki yake yupo mjini ni fundi kompyuta ndo ataenda kununua pale, akanikumbusha si ninamkumbuka yule jamaa aliyekushushia window? Nikasema yaa nakumbuka sana akasema sasa yule jamaa anauzaga PC na kompyuta zile desktop kali kwa bei cheap sana.

Baada ya hizo stori tukaanza stori za mademu. Na Mimi kujimwambafy nikamwambia kua usiku ulipita nilikesha na Pendo yule demu pisi mtoto wa daktari, nikazidi kutamba kua nimekula sana tunda jamaa akawa anacheka akasema hata hivo yeye ni Legend maana ndo alimtoa Pendo bikra.! Nikataka kubisha jamaa akanidhibitishia kua alimtumia dada yake Pendo coz alikua ni demu wa bro yake lakini alilazimika kumuhonga elfu hamsini. Dah nikakosa pozi, yaani dada yake Pendo alimkuwadi mdogo wake aliwe kisa pesa.! Kweli pesa ni sabuni ya roho, ila mwamba akasema nisiogope coz walishatemana basi tukaendelea na stori za pwagu na pwaguzi siku ikakata.

Sasa basi siku moja baada ya kumaliza kazi nilipaki vifaa vyangu na kusepa home. Ilikua ni kawaida yangu kuchukua PC, flash external na vifaa vingine na kusepa navyo ghetto. Nilipofika na kuvipanga nikarudi senta kucheki mechi nakumbuka ilikua mechi ya uefa kati ya Barcelona na PSG. Mechi iliisha kwa chama langu Barcelona kugongwa goli nne bila nikarudi home nimechoka balaa nikafungua mlango na kulala huku donge la hasira likiwa limenikaba sana. Usingizi nao haukua mbali ukanichua na kulala fofofo!

Sasa kibembe kikaja asubuhi kulipokucha wakati najiandaa kwenda kwenye mishe kucheki mezani sioni PC nikaamka kuangaza pote hamna kitu mwanzo nilizani ni masikhara baadae nikagundua kua ni kweli hakukua na PC nilihisi tumbo la kuhara likinishika. Nikajiuliza au niliisahau kule ofisini lakini nikajipinga maana ni Mimi mwenyewe nilikua nayo na kuipaki fresh mezani kabisa dah! Sasa itakua imeenda wapi? nani kaichukua? Na nikikumbuka hakuna aliyekua ameingia chumbani kwangu zaidi ya mimi mwenyewe aisee! Au kuna jini? Nilipagawa!

Nikakumbuka wakati natoka kuangalia mpira labda mlango ulikua umevunjwa lakini nilipouchunguza ulikua sawa kabisa na wala kufuli ilikua haina hata mchubuko Ohoo! Nikapaniki sana. Sasa ikibidi niite majirani na kuwashilikisha msala kila mtu akawa anaongea lake wengine wakasema labda niliisahau ofisi basi ikabidi niende ofisini. Nimefika nikakagua kila kona wapi.! Chozi likanilenga wazee, nikikumbuka nilivosota kuinunua ile PC nikaishiwa nguvu! Ikabidi nifunge ofisi sikutaka tena kurudi ghetto nikanyooka moja kwa moja kwenda home kwetu kabisa kwa wazazi hapo na mawazo kama million mia.

Itaendelea...

Muendelezo bonyeza kiungo hapo chini

Sehemu ya pili
 
Sehemu ya pili...

Nilifika home na kukaa sebuleni. Mama alikuja na kukaa pembeni yangu hata sikukumbuka kumsalimia. Wee Ema! Nilishukuta baada ya mama kuniita nilimsalimia huku nikiwa bado nimeinamisha kichwa. Una shida gani alinitwanga swali badala ya kujibu salamu yangu.
Nimeibiwa laptop yangu. Ile unayobania miziki? Ndiyo. Nilijibu kinyonge.

Nilianza kumuelezea msala jinsi ulivotokea akasema hamna haja ya kulia inabidi niende polisi nikaripoti halafu nianze uchunguzi maana mwizi hawezi kutoka mbali. Aliniletea chai na maandazi. Kibishi nilianza kuyala ingawa nilikua na njaa ila nilihisi huo msosi haukuwa ladha kabisa.

Bro wangu alikuja tukaenda polisi kuandika shitaka. Kituo cha polisi kilikua kijiji kinachofuata so ilibidi tupande bodaboda, tulifika na kuripoti na kupewa taratibu zote kisha tukarudi kijijini. Watu wengi walinipa pole minong'ono ilikua mingi watu wengi walinyoshewa vidole. Lakini mimi nilikua sina wa kumtuhumu maana sikuona mazingira yoyote ya kumtuhumu yeyote. Dah.! Nilikosa pozi nikipigiwa simu na watu mbalimbali wengine wakinishauri twende kwa waganga lakini hilo swala sikulipa kipaumbele japo kwa mbali lilianza kuningia ubongoni.

Lakini nikawaza huko naweza kupigwa zaidi pesa na nisipate nachokitafuta badala yake nikawa nimeongeza tu hasara..! Sasa ntafanyaje nikapiga moyo konde nikaingia kulala nikawa naota tu ndoto za kutisha nilishtuka toka usingizini baada ya milio ya simu kuzidi. Kulikua na missed call nyingi lakini iliyonivutia ilikua ya Pendo. Nikampigia kabla ya yote alinipa pole walau pole yake ilikua na faraja kiasi maana mapenzi yana nguvu na vile nilikua nimemmiss tukapiga stori mbili tatu akaahidi usiku ule kuja kunipa 'kampani' nikatabasamu japo sikua na hamu.

Baadae rafiki yangu Eddy akaja ghetto akanipa pole kama watu wote walivofanya tukawa tunapeana ushauri nini cha kufanya lakini hakuna aliyeweza kuleta njia ya moja kwa moja. Nikamwambia tulienda polisi na bro japo sina matumaini yoyote. Na yeye akakazia tu "polisi hawawezi kukusadia lolote" hii inshu ni kwenda nayo polepole hasa hawa majirani zako ni wa kuchungwa sana. Nikikumbuka kauli ya mama "mwizi hawezi kutoka mbali" kwa kweli na mimi nikaanza kuwahisi hawa majirani lakini nani sasa kati yao? Wote niliwaona watakatifu sana. Dah nani sasa nimpake damu??..

Hatimaye siku ikakata bila kufanya kazi. Usiku wa siku hiyo mpenzi wangu Pendo alikuja kama alivoniahidi kiukweli licha ya uchovu wa mishemishe siku hiyo lakini nilijisikia sana faraja kumuona Pendo. Huyu manzi alikua na sifa nazozipenda kwa mademu kwani alikua mweupe kiasi, mrefu, miguu minene japo yeye hakua mnene ila alibarikiwa sana wowowo, yote tisa ila kumi alinivutisa na chuchu zake zilizokua zimejaa vyema dah! Sio siri nikilikua napiga show za kulipwa bure kabisa.. Nakumbuka siku hiyo tulinyanduana sana hadi mashuka yakaloa kwa jasho ingawa kilikua ni kipindi cha baridi lakini joto lilizidi chumbani..

Baada ya shughuli ya muda mrefu tulipiga stori nyingi sana nikamuelezea hatua nilizochukua kuhusu kuibiwa kwa kompyuta yangu akanipa moyo kua mwizi lazima atapatikana tu nilifurahi sana kua na mpenzi kama Pendo. Baada ya porojo za hapa na pale hatimaye tulipitiwa na usingizi hadi ilipotimu saa 11 kutokana na kutega alarm nilishituka na kumrudisha Pendo nyumbani kwao nilirudi ghetto na kulala hadi ilitimu saa mbili na nusu asubuhi ndo niliamka na kwenda ofisini.

Pamoja kua nilikua nikibani miziki lakini pia nilikua nafanya kazi ya kuchaji simu hivo nilikua na wateja wengi tu japo hiyo biashara ilikua hainilipi kivile ila ilitosha kunipa hela ya vocha. Nikiwa kazini muda wa mchana kwenye saa nane alikuja binti mmoja hivi, hakua mgeni machoni mwangu nakumbuka nilishawahi kumuona sehemu ila sikukumbuka moja kwa moja ni wapi alinisalimia na mimi nilimkaribisha.

Nikamuuliza kama alihitaji huduma yoyote akasema hapana ila alikua na shida na mimi binafsi kama tunaweza kupata sehemu tulivu tunaweza ongea ana "jambo" anataka kuniambia. Moja kwa moja nikagundua kua huenda ni mbinu zile zile wanazotumia mabinti kunitaka kimapenzi. Nikamuuliza jina akanambia anaitwa Esta na alikua anatoka mtaa flani mbali kidogo karibu na kijiji cha pili lakini aliniarifu kua alikua amekuja kununua bidhaa kwenye gulio maana siku hiyo lilikaa pale kijijini kwetu.

Nami nikamuuliza kama ananifahamu akacheka sana akasema we si rafiki yake Eddy nikakubali haraka haraka, ndiyo mimi ndiye naitwa Ema. Akasema najua, akauliza unamjua Baraka rafiki yake na eddy yule fundi simu? nikasema ndio namjua pia japo mi na yeye hatuna urafiki kiivo isipokua Eddy ndo hua anatuunganisha, si unajua rafiki wa rafiki yako ni rafiki yako pia!? Akacheka akasema ndio na kukubaliana na kauli yangu. Basi nikamwambia Baraka ni rafiki yangu vilevile ingawa sio sana. Akasema basi huyo Baraka ni boyfriend wake. Ingawa huyo manzi Esta alionekana mshamba lakini alikua mzuri sana.

Nami nikamwambia si unieleze basi hilo jambo. Lakini akakataa kua lazima tuwe sehemu 'tulivu' ndo atanieleza kwa uhuru. Ikabidi nibahatishe tu nikamwanmbia kama hatajali twende ghetto kwangu ndo sehemu ya haraka nayoona kuna uhuru na usalama. Akatania pale ulipoibiwa PC sasa kuna usalama gani? Nilishutuka sana. Weeh! Umejuaje kua nimeibiwa PC akacheka sana akasema hakuna ambaye hajui hiyo stori pale kijijini nikakubaliana kua ni kweli. Kwani hiyo ndo ilikua stori kubwa kwa siku iliyopita. Lakini sikuzingatia ile sentensi "pale ulipoibiwa PC sasa kuna usalama gani?" Niliichukulia kawaida tu, sikuwaza alijuaje kua nimeibiwa PC nyumbani na sio ofisini au mahali pengine popote!? Nikapuuzia. Basi naye hakua na hiana akakubali twende huko ghetto kwangu nami sikutaka kupoteza muda nikafunga ofisi hao tukasepa.


Katika maisha sikuwahi kujifunza kuhusu uaminifu. Niliamini kila kitu nacho kiona basi kipo hivo hivo kumbe maisha hayapo hivo, aisee yapo tofauti sana. Nami nakuambie wapende binadamu ila usiwaamini hata kidogo. Basi bhana baada ya kufika ghetto mtoto akakaa tena kwa makusudi kabisa akakaa kitandani hapa akili za rikiboy zikahamia kwangu nikaona kuna mtu ataliwa kimasikhara hapa.. Na kweli ndivo ilivokuja kua, hili ntalielezea baadae kidogo.

Basi na mimi nikamfata pale pale kitandani tukakaa wote kwa mtindo wa kutazana na kuachiana sentimita chache tu. Nikagundua ingawa Esta alikua na aibu za kike ila alijivika ujasiri wa kunitazama usoni. Basi sasa akaanza kunielezea kile kilichomeleta, akanambia kua kuna jambo nyeti anataka kunielezea japo hata mimi sio mtu mzuri lakini hajaona kwanini awe "mshirika" katika kuniangamiza. Nikamuuliza ubaya wangu ni nini? Akacheka sana kasema relax boy sijasema we ni mbaya. We ni kijana mzuri sana halafu nashangaa kwanini hauji kanisani tukutoe pepo la uzinzi maana naamini ndo dhambi pekee inayokutesa vinginevyo una siti nzuri tu huko peponi na manabii wa kale wakina eliya na yoshua, basi tukacheka sana.

Akasema kua ni muda sana alikua anatafuta nafasi ya kua karibu na mimi baada ya kutenda jambo moja jema sana. Nikashangaa jambo jema gani hilo nililotenda. Akasema unakumbuka kuna siku moja hivi kuna mtoto aligongwa na bodaboda halafu boda akakimbia. Nikasema ndio nakumbuka. Akatabasamu sana akasema basi yule kijana ni mdogo wangu na bila wewe sijui ingekuaje maana ulijitolea kwa gharama zako apelekwe hospitali ya wilaya akiwa hana fahamu wengi walizani amekufa tena wewe ndo ulienda nae sisi tulikuja tayari kashapata nafuu. Nikasema ni kawaida tu binadamu kusaidiana. Akasema we ishia hapo hapo unawajua binadamu wewe.

Binadamu wabaya sana unaweza kuwachinjia kuku kwa upendo wao wakaja kukuchinjia baharini. Nikacheka sana. Akasema usicheke kwani waliokuibia laptop yako ni wanyama pori? Si ni binadamu haohao tena ungejua... Akanyamaza. Nikasema sawa mbona hata baba yako baada ya lile tukio alinipa zawadi ya mbuzi. Akajibu tena achana na hayo wema halisi ni ule ulioutenda kwa mara ya kwanza basi tukabishana kiasi huku tukitaniana. Mwisho akabalidili mada sasa jambo unalonikera ni moja tu unapenda sana wanawake, wasichana wote hapa kijijini wakakudiss sana.

Nikajitetea kua mi mbona ni mtulivu. Akasema we mi mwenyewe hapa namashaka sijui kama ntatoka misri salama. Basi tukacheka sana. Akasema tena ulivo hauna haya hata marafiki unawachanganya we hujali, ulikua na mahusiano na Debora sahivi uko na Pendo na ukijua kua ni marafiki. Hivi unajua sahivi wamenuniana sana. Nikasema hata hivo Debo tulishaachana kitambo sana. Akasema haya. Tuyaache acho. Sasa nataka nikueleze jambo ila muda umeenda sana hivo ntakueleza nusu, nusu nyingine ntakueleza siku nyingine. Nikakaa mkao wa kula enhee.. Hebu Nieleze.

Akasema kwanza niapie hautanitaja kama mimi ndo "mbeya" niliyevuhisha siri za watu. Nikaapa kwa Miungu yote. Akasema haya ukinigeuka hiyo dhambi ikurudie. Akaanza kunielezea kua jana yake alikua kwa Baraka ambaye ndiye mpenzi wake na alikua ana laptop flani hivi ambayo ajawahi kuiona pale ghetto kwake. Tukawa tuanaangalia miziki. Baadaye akaja jamaa mmoja wakawa wanapiga stori kwa nje mimi sikutoka. Baada ya dakika kama kumi Baraka akaja akaichukua ile PC na kuiweka kwenye begi flani hivi kisha akatoka na kumpa huyo mtu kisha huyo mtu akatokomea na wakaahidiana kukutana jioni ili "wapoozane" maana walisema kua leo tutapewa nusu na nusu iliyobaki jamaa kasema atamalizia jumamosi ijayo. Nikajua tu hapo kuna biashara flani hivi itakua inaendelea.

Nikamuuliza kwani hiyo PC ikoje. Akacheka akasema sio ikoje ni yako maana niliona picha yako ukiwa umevaa kofia nyeusi. Aisee nilishtuka sana maana kweli hiyo picha ndo nilikua nimeweka kama screen saver. Kwahiyo Baraka ndio kaniibia PC yangu na huyo jamaa ni nani alieondoka nayo. Esta akawa ananiangalia tu akasema amechoka kuongea hayo aliyoniambia yanatosha ila akasema wezi ni watu watatu na Baraka ni daraja tu ila wapo wawili na atanitajia mmoja kwa leo siku nyingine atamtaja mtu mwingine katika huo utatu muovu. Enhee ni nani huyo? Akanisogelea ananishika mikono kisha akasogeza midomo yake.

Nikapigwa na butwaa haswa sikutaka kuhoji hata kama ningetaka sikupewa hiyo nafasi kwani tayari ndimi zetu zilikua zikinyonyana. Lilikua tukio la ghafla sana lakini tayari pepo la ngono lilikua limeshajitangazia kupita bila kupigwa. Basi bhana nami sikutaka kuonekana mzembe nikaanza kuonesha makeke yangu nikamvuta karibu na kuanza kumnyonya vizuri mate kisha nikahamia shingoni nyonya sana nikapandisha juu tisheti aliyokua amevaa nikaanza kunyonya matiti, mara Esta akaanza kuhema hovyo kama wakimbizi wa Ukraine waliochoka kwa kukimbia mabomu ya bwana Putin, nikawa nanyonya matiti mwa zamu huku nayapapasa taratibu huyo akajilaza huku akitoa miguno kwakua sipendagi kuuza habari wakati wa kunyanduana nikamuwekea kidole cha kati cha mkono wa kushoto mdomoni.

Akawa anakinyonya kama pipi kijiti. Nikapandisha sketi yake nyepesi nikamvua chupi. Dah! Laivu nikawa nimeingia ikulu ya kigoma nikazama uvinza nchi yenye chumvi bora sana. Nikachota ya kutosha baadae nikampa bakora za kutosha hadi akawa ameridhika akanyanyuka nikampa ndoo akaweka maji akanawa na kujifuta huku anaona aibu. Nami nikamfuta na kumnong'oneza we ni mtamu sana Baraka anafaidi sana. Akasema wee koma tena ishia hapo hapo huyo Baraka hata sitaki kumsikia tena.

Akavaa nguo chapu maana muda ulikua umeenda sana akanambia, siku zote kikulacho ki nguoni mwako. Mwizi wa PC yako ni Eddy na ndiye aliyekua ameificha kwa Baraka na ni yeye aliyetoka nayo jana pale kwa Baraka na kwenda kuiuza mjini. Akasema Sasa Mimi nshamaliza msaada wangu kazi imebaki kwako. Aisee nilitoa macho ka fundi saa aliyepoteza nati. Eddy????????... Niliita kwa sauti huku nikisaga meno.
Amakweli...

Basi tuliagana pale nikashukuru sana kwa habari ile nyeti na zawadi ya tunda la mti wa kati alilonipa kimasikhara, nikamtoa nje na kumpa hela ya nauli akasepa huku mi nikibaki na mawazo kede...

Itaendelea

Sehemu iliyotangulia bonyeza kiungo hapo chini

Sehemu ya kwanza
 
Back
Top Bottom