mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
kaza kaka, mana wangekupanda kichwani
Soma vizuri madam. Nimeandika mayai manne. Alafu nikagawa nusu kwa watoto, na mimi nikala nusu iliyobaki, so hesabu ya haraka nimekula mayai mawili. Pia nilipoenda mjini nilipata maziwa fresh vikombe viwili na bites tuu. Sipendi kula gengeni wala safarini hovyo hovyo. Najipendakweli mkabisa ni kumpa kiki
ila unakula sana jamani
ulienda sehemu ukala halafu kufika home ukapiga mayai nane na uji???
teh wewew noma
Hii mbinu ni ya kivietinamu ya kumdhibiti USA...
Nmeipenda sana mkuu
na ni mbinu hii hii wameitumia vietnam kuthibiti mitandao hovyo ya hapa nchini kwa kuwa na internet yenye kasi bila mizengwe,safi sana mkuu wa kazi!Hii mbinu ni ya kivietinamu ya kumdhibiti USA...
Nmeipenda sana mkuu
Umetisha mkuuna ni mbinu hii hii wameitumia vietnam kuthibiti mitandao hovyo ya hapa nchini kwa kuwa na internet yenye kasi bila mizengwe,safi sana mkuu wa kazi!
Hawezi sababu hamuongeiHaaaaaaah, kama huna uzoefu dont try, or try at your own risk. Wengine ukimfanyia hivyo ndo anajiachia kwa raha zake
Kwi kwi kwi... Mayai manne bhana, tena kala na watoto... Uji alioweka kwenye chupa alikunywa asubuhi baada ya kufua.. Teh teh tehkweli mkabisa ni kumpa kiki
ila unakula sana jamani
ulienda sehemu ukala halafu kufika home ukapiga mayai nane na uji???
teh wewew noma
Katika ubora wako...Mungu mnamsingizia tu matatizo yenu. Hayupo.