Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

Kwanza nishukuru kwa wote mliochangia mada tajwa niliyoileta hapa

Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

Nilirudi nyumbani saa 2 na nusu usiku, baada ya kupumzika sehemu flani ambapo nilipata chochote cha kuujali mwili nisije kupata vidonda vya tumbo kisa njaa wakati hela ninazo.
Nilipofika nyumbani nilikuta wanaandaa chakula na baadhi ya hotpot zimeshaanza kupangwa mezani. Sikuhangaika nazo. Niliingia jikoni nikachukua sufuria ya kuchemshea maji, nikaenda kuiosha. Wote wawili (Wife na house girl) wakaja kila mtu akitaka kunisaidia na kuuliza kama nahitaji maji ya kuoga. Niliwajibu sihitaji. Baada ya hapo nikarudi ndani na sufuria langu. Bahati nzuri jiko la gesi lilikuwa halitumiki. Nikaliwasha ili kupasha maji ya kuoga. Nikachukua simu yangu nikakaa sebuleni nikawa busy tuu na simu huku nikisubiri maji yapate moto ili nikaoge. Sikutaka maongezi na mtu. Maji yalipokuwa tayari nikaenda zangu kuoga.

Baada ya kuoga nikarudi jikoni, nikachukua frying pan nikaenda kuliosha. Niliporudi nikawasha tena jiko la gesi, nikaenda kuchukua mayai kwenye tray, nikakaanga mayai kama manne hivi (mawili nyangenitosha lakini nilijua lazima watoto wangekuja kunizengea). Yalipoiva nikala, nikagawa mengine kwa watoto. Baada ya hapo nikaenda kuosha sufuria nyingine, nikaja nikapika uji wa ulezi. Ulipoiva nikanywa, mwingine nikaweka kwenye chupa. Nilipoona wanajileta leta kunisaidia, niliwapiga stop. Niliwajibu tu waendelee na kazi zao. Baada ya hapo nikaenda kulala. Usiku alihangaika sana kuomba msamaha kama amenikosea. Sikumjibu chochote ila nusura nimpige kwa sababu alikuwa akinisumbua na mimi sikutaka usumbufu.

Alfajiri niliamka saa 11 alfajiri nikawasha jiko la mkaa, nikapasha maji. Binti akaamka, nikamwambia arudi kulala. Ikawa taharuki flani hivi nikaona wamepanic. Maji yalipoanza kuwa vuguvugu nikatoa nguo zangu zote ambazo ni chafu nikaanza kufua. Wife akaja kutaka kuzichukua nikavutana naye, nikamwambia arudi kulala. Nikamwambia sitaongea tena na ukinisumbua ntakuzibua na kofi. Nilifua hadi around saa moja na nusu asubuhi. Nilipomaliza nikarudi room nikakuta amejigaragaza kitandani analia.Nikanyoosha nguo za kuvaa, nikapiga mswaki, baada ya kujiandaa nikaondoka zangu.

Baada ya kuondoka akawa ananipigia, sikupokea, akatuma sms wala sikujibu. Nilipoona ananisumbua nilizima simu siku nzima mpaka niliporudi jioni. Leo ni siku ya pili analia tuu, mimi naendelea kujihudumia. Mchana nilirudi home ghafla nikamkuta amekaa kwa masikitiko anaongea na simu, alafu anaongea kilugha. Bahati nzuri lugha yao naisikia, na nikahisi anangea na dada yake, maana kila akipata tatizo huwa breki ya kwanza kwa ushauri ni kwa dada yake. Baada ya kukata simu akaja kunisihi niwasamehe, nimemjibu kwa kumuuliza, "kwani mmenikosea nini?" Akanijibu kuwa kama mimi najihudumia kila kitu sasa yeye kazi yake nini? Nikamwambia kama huna kazi basi unaweza kwenda likizo uende popote utakapoona panafaa mpaka pale utakapoona una kazi ya kufanya.

Kwa ufupi kwa siku mbili hizi sijala chakula cha mikono yao, wala nguo kuandaliwa na mwingine. Nimeamua kuwapa off, ila hali waliyo nayo ni mbaya kila mtu yuko kona yake, hata chakula hakiliki, ni kulia lia tuu. Pia nimeamua kuweka simu zangu zote pasword kwa makusudi, atakapokosa access ya simu zangu, ataanza kuhisi nina mchepuko, sasa nasubiri hilo litokee, nalisubiri kwa hamu.
Katika maisha yangu naamini kuna njia nyingi za kumuadhibu mtu. Sipendi na sitarajii kumpiga mtu maishani mwangu, labda iwe ni pale inapobidi
Umemmaliza, mwaname anayekupenda kumgomea chakula ni adhabu tosha
 
Daaah Hii nzur sana
 
Kama ulikwa hujui, leo fahamu hakuna pigo kubwa nafikiri linakaribia kushinda yote, kama mwanamke (mkeo) akikukosea harafu usimuulize wala usimuadhibu kwa kumpiga au kumfokea basi hapo utakuwa umemtesa vya kutosha na hiyo njia kwa ujumla unaweza kusababisha mauaji, usithubutu kuitumia njia hii, ni ya mauaji!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom