Asipomuhusisha Dada wa kazi mke atajua anamgegeda Dada wa kazi .good boy sasa hapo umekuwa
yaani piga hata week mbili hivo
ila kumbuka dada wa kazi hana kosa nausimuusishe kwenye ubaya wa nyumbani kwako
Kiranga huku unapretend ila pakufungukia ni kule Intel.,...hapa utakuja ubishani usio na ulazima na kuchafua uzi wa mtu bure.Mungu mnamsingizia tu matatizo yenu. Hayupo.
Ukweli utabaki ukweli popote.Kiranga huku unapretend ila pakufungukia ni kule Intel.,...hapa utakuja ubishani usio na ulazima na kuchafua uzi wa mtu bure.
Kweli wewe "KakaJambazi"Utupe mrejesho siku utakapoacha iyo adhabu utaanzaje kula, kuongea na kucheka nao, pia kugegeda je utakua unapagawa kwa mautamu au je utaanza kwa romance au utakua ka Undertaker tu sura ya mbuzi!
Well done! Acha wanawake tujifunze tumezidi kha! Hatorudia upuuzi huu tena. Heshima na adabu kwa sana.
Mkuu ukweli haujifichi! Hii dhana ya kusema wanawake dhaifu wavumilivu etc haipashwi kupewa kipaumbele kwa kila jambo. Ni ukweli usiomezeka kwa walio ndani ya ndoa wakidai wapo kwenye mateso. Tofauti ndani ya nyumba lazima ziwepo busara ni jambo muhimu zaidi kuliko kujidanganya na neno uvumilivu. Ni mawazo yangu tuuu thinking loud coz nilipita hiyo njia. Kuwa nje ya maisha ya wawili nimejifunza mengi!Huwa nikisoma michango kama huu toka kwa wadada kwenye hizi issue za mahusiano napata matumaini kwamba bado wako wanawake wengi tu ambao wanaotambua wajibu wao ndani ya ndoa.
Mkuu kwa maoni yangu adhabu imetosha sasa lakini ni lazima mkae chini ueleze kilichokukera na kumwambia hiyo kero ndiyo iwe mwanzo na mwisho kutokea.