Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

kweli mkabisa ni kumpa kiki
ila unakula sana jamani
ulienda sehemu ukala halafu kufika home ukapiga mayai nane na uji???
teh wewew noma
Soma vizuri madam. Nimeandika mayai manne. Alafu nikagawa nusu kwa watoto, na mimi nikala nusu iliyobaki, so hesabu ya haraka nimekula mayai mawili. Pia nilipoenda mjini nilipata maziwa fresh vikombe viwili na bites tuu. Sipendi kula gengeni wala safarini hovyo hovyo. Najipenda
 
Hiyo Style Inaitwa "KABAKAYEKA" Yani Hapo Kama Hautatoa Mapema Msamaha, Mtoto Wa Watu Atakufa Kwa Hofu.
 
Yeeeeeees....
Mwanaume umefanya mambo kiume.

Wakizingua unakamata usukani mwenyewe na ole wake asogeze pua karibu.
 
Kuna jamaa mwingine alirudi usiku wife wake akagoma kumfungulia geti kisa amechelea kurudi na jamaa tulikuwa nae tulitoka kwenda kuangalia mpira kurudi mke akagoma kabisa jamaa akageuza kwenda kutafuta chumba gest, alicho kifanya jamaa alilipia chumba kama wiki mbili akawa anakuja asubuhi ananyosha nguo anavaa na kuondoka bila kumsemesha mtu, mwanamke alitaka kufa ni kulia tu mda wote bila kula.
 
Maandiko yanasema tuishi nao kwa akili, na hiyo method uliotumia ndugu inaitwa "positive reinforcement " nakumbuka mzee wangu alinihusia hivyo kitambo, ila Yeye aliongeza kidogo kwamba" impose negative reinforcement as the case may be"
 
Mkuu kaka yangu,vunja ukimya ongea na Shem mwelekeze kila kitu,na namna usivyopendezwa na maamuzi/mawazo/mahitaji yake ambayo yanakwamisha kupiga hatua mbele kimaisha.Bado hajajua sure nakwambia.

By:kijana ambaye hajaoa.
 
Mi naona adhabu imetosha.
Hizo passwd ondoa mana zitaleta shida nyingine mana ndo mwanzo wa kuficha maovu yako.
 
Kuna wanaume ni hatari sana si wakufanyia mizaha...hiyo adhabu ni kali mno jamani, well done bro! unajua jinsi ya kutreat ndoa.
 

Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom