Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

Ahsante sana Mkuu Pakawa

Mkuu ukweli haujifichi! Hii dhana ya kusema wanawake dhaifu wavumilivu etc haipashwi kupewa kipaumbele kwa kila jambo. Ni ukweli usiomezeka kwa walio ndani ya ndoa wakidai wapo kwenye mateso. Tofauti ndani ya nyumba lazima ziwepo busara ni jambo muhimu zaidi kuliko kujidanganya na neno uvumilivu. Ni mawazo yangu tuuu thinking loud coz nilipita hiyo njia. Kuwa nje ya maisha ya wawili nimejifunza mengi!
 
Utamsababishia midonda vya tumbo baadae utatoa pesa tena kwa matibabu, ebu kaa nae mweleze nini unatafanye kwako ili maisha yaende sawa. Alafu inaonesha shemeji amezidi uzito mpe mechi nyingi za uck apungue kidogo
 
Kwanza nishukuru kwa wote mliochangia mada tajwa niliyoileta hapa

Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

Nilirudi nyumbani saa 2 na nusu usiku, baada ya kupumzika sehemu flani ambapo nilipata chochote cha kuujali mwili nisije kupata vidonda vya tumbo kisa njaa wakati hela ninazo.
Nilipofika nyumbani nilikuta wanaandaa chakula na baadhi ya hotpot zimeshaanza kupangwa mezani. Sikuhangaika nazo. Niliingia jikoni nikachukua sufuria ya kuchemshea maji, nikaenda kuiosha. Wote wawili (Wife na house girl) wakaja kila mtu akitaka kunisaidia na kuuliza kama nahitaji maji ya kuoga. Niliwajibu sihitaji. Baada ya hapo nikarudi ndani na sufuria langu. Bahati nzuri jiko la gesi lilikuwa halitumiki. Nikaliwasha ili kupasha maji ya kuoga. Nikachukua simu yangu nikakaa sebuleni nikawa busy tuu na simu huku nikisubiri maji yapate moto ili nikaoge. Sikutaka maongezi na mtu. Maji yalipokuwa tayari nikaenda zangu kuoga.

Baada ya kuoga nikarudi jikoni, nikachukua frying pan nikaenda kuliosha. Niliporudi nikawasha tena jiko la gesi, nikaenda kuchukua mayai kwenye tray, nikakaanga mayai kama manne hivi (mawili nyangenitosha lakini nilijua lazima watoto wangekuja kunizengea). Yalipoiva nikala, nikagawa mengine kwa watoto. Baada ya hapo nikaenda kuosha sufuria nyingine, nikaja nikapika uji wa ulezi. Ulipoiva nikanywa, mwingine nikaweka kwenye chupa. Nilipoona wanajileta leta kunisaidia, niliwapiga stop. Niliwajibu tu waendelee na kazi zao. Baada ya hapo nikaenda kulala. Usiku alihangaika sana kuomba msamaha kama amenikosea. Sikumjibu chochote ila nusura nimpige kwa sababu alikuwa akinisumbua na mimi sikutaka usumbufu.

Alfajiri niliamka saa 11 alfajiri nikawasha jiko la mkaa, nikapasha maji. Binti akaamka, nikamwambia arudi kulala. Ikawa taharuki flani hivi nikaona wamepanic. Maji yalipoanza kuwa vuguvugu nikatoa nguo zangu zote ambazo ni chafu nikaanza kufua. Wife akaja kutaka kuzichukua nikavutana naye, nikamwambia arudi kulala. Nikamwambia sitaongea tena na ukinisumbua ntakuzibua na kofi. Nilifua hadi around saa moja na nusu asubuhi. Nilipomaliza nikarudi room nikakuta amejigaragaza kitandani analia.Nikanyoosha nguo za kuvaa, nikapiga mswaki, baada ya kujiandaa nikaondoka zangu.

Baada ya kuondoka akawa ananipigia, sikupokea, akatuma sms wala sikujibu. Nilipoona ananisumbua nilizima simu siku nzima mpaka niliporudi jioni. Leo ni siku ya pili analia tuu, mimi naendelea kujihudumia. Mchana nilirudi home ghafla nikamkuta amekaa kwa masikitiko anaongea na simu, alafu anaongea kilugha. Bahati nzuri lugha yao naisikia, na nikahisi anangea na dada yake, maana kila akipata tatizo huwa breki ya kwanza kwa ushauri ni kwa dada yake. Baada ya kukata simu akaja kunisihi niwasamehe, nimemjibu kwa kumuuliza, "kwani mmenikosea nini?" Akanijibu kuwa kama mimi najihudumia kila kitu sasa yeye kazi yake nini? Nikamwambia kama huna kazi basi unaweza kwenda likizo uende popote utakapoona panafaa mpaka pale utakapoona una kazi ya kufanya.

Kwa ufupi kwa siku mbili hizi sijala chakula cha mikono yao, wala nguo kuandaliwa na mwingine. Nimeamua kuwapa off, ila hali waliyo nayo ni mbaya kila mtu yuko kona yake, hata chakula hakiliki, ni kulia lia tuu. Pia nimeamua kuweka simu zangu zote pasword kwa makusudi, atakapokosa access ya simu zangu, ataanza kuhisi nina mchepuko, sasa nasubiri hilo litokee, nalisubiri kwa hamu.
Katika maisha yangu naamini kuna njia nyingi za kumuadhibu mtu. Sipendi na sitarajii kumpiga mtu maishani mwangu, labda iwe ni pale inapobidi

duu huyo mkeo alifanya kosa gani kaka mpaka ukaamua kufanya hivyo???
 
Hongera kwa hatua ulizochukua. Inaonesha wewe ni mwanaume matured. Laiti wanaume wote wangekuwa kama wewe!
 
Ohoo,hii hii tamthilia ya La Revancha nimeikutia katikati ngoja niende YouTube nikaangalie episode za mwanzo kisha nitarejea.
 
hahahahahaha safi sana mkuu tena safi sana, hiyo adhabu ni zaidi ya makofi na ngumi na mteke. wanawake badilikeni kauli zenu zinatukela sana wanaume.
 
good boy sasa hapo umekuwa
yaani piga hata week mbili hivo
ila kumbuka dada wa kazi hana kosa nausimuusishe kwenye ubaya wa nyumbani kwako
hapana mi naona dada wa kazi pia analo kosa, jamaa alipotoka safari huyo dada wala hakujihangaisha kumhudumia wakati huyo ni boss wake hata kama mshahara wake analipwa na mke ila hao ni wakuu wake wa kazi.
 
hakufanya hivo kwasababu mama alikuwepo
ukisoma vizuri jamaa alimkuta dada nje anaosha vyombo akaenda ndani alikokuwepo mkewe hapo dada angemfata mume wa mtu kivipi
 
Hii style yako nimeipenda inammaliza mtu kiutaratibu yaani kisilensaa!Hapo kila mtu akili zitakaa sawa kichwani!
 
Hiyo mbinu ya kijasusi why umetoa siri tena, yaani ndo mbinu yangu kabisa hata sijaingia kwenye ndoa, mambo ya kubembeleza wakat tumekutana ukubwani no kukichosha tu, huyo harudii tena ujinga huo hata hela ya madera ataomba pale atakapobanwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom