Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

The shear number of traffic lights on morogoro road gives chills, from ubungo mataa(ubungo maji) to morogoro/ali hassan road junction at DIT a distance of 8kilometers there is 14 traffic lights stops! Thats an average of a traffic stop every 600 meters! Perfect recipie for foleni. For good value for money, Overpass and underpasses were so necessary in this project. Instead of spending billions on stop stations with some less than 50 meters from each other, it would have been better spent solving the snurl up the project was aimed to address in the fist place

The traffic lights are meant to give preferences for the Buses. see how they work below. I though BRT was to discourage private cars in town hence no jams.

Last edited by a moderator:
Jamani huu mradi unaelekea kuisha! Basi tusiwe wenye kupost picha tu! Tuwe na wenye kupeana fursa za mradi huu . Mfano tenda za uuzaji wa tiketi za brt nk.
 
The traffic lights are meant to give preferences for the Buses. see how they work below. I though BRT was to discourage private cars in town hence no jams.

i know what a trafic light does, but unless it uses some sofisticated sensors to tell when a brt bus is coming then there is no way there is preference to the busses, otherwise its the normal clock work time division.
Brt is meant to discourage non essential personal vehicles not stopping other vehicles all together. My point is, one minute spent at each of the 14 traffic stops over a 8km stretch is a minute too long when its clear an under/overpass would have saved time given that money for that was available we just spent it to build huge stylish stops at the expence of a smoother flowing system
 
Last edited by a moderator:
Dar es salaam is one of the ugliest cities in Africa,horribly planned buildings and road infrastructures.
 
photo by meddyblanco

KAWAWA ROAD BRT LANES

11825230_1683779355174712_8285793333018114614_n.jpg

Photo by Kamal

KIVUKONI FRONT

11825887_1683779371841377_896702103804215482_n.jpg
 
NDINDA mabasi yameanza majaribio mboni sioni picha zako???
 
Last edited by a moderator:
DSC03441.jpg

mie tatizo langu moja, Inaonekana hatuna blue print ya kufata coz Tanzania ni kama tunafanya mikakati ya miaka mitano au kumi tu! kwa mfano hapo kwenye ramani inaonekana barabara ya tegeta ipo kwenye plan ya phase 4. lakini juzi tu baada ya miaka mitatu ndo barabara hiyo imemaliza kujengwa. nafasi iliopo kati ya barabara hizi mbili haitatosha kujenga hiyo BRT hasa vituo. je inaanisha watabomoa hii barabara kama walivyofanya morogoro road?
 
hilo la tegeta hata mie lilinishangaza sana. ingetakiwa wakati wanai-upgrade wachomeke na BRT kabisa. sijui wanawaza nini
 
hilo la tegeta hata mie lilinishangaza sana. ingetakiwa wakati wanai-upgrade wachomeke na BRT kabisa. sijui wanawaza nini
hata kama wasingechomeka, basi nafasi ingeachwa kwajili ya huu mradi wa BRT since pembezoni mwa barabara zote mbili nafasi bado ipo. ni matumizi mabaya ya hela za walipa kodi na ujinga usio na kipimo kujenga barabara alafu kuibomoa baada ya miaka michache ili kujenga mradi mwingine.
 
mambo ya 10%.
 
Yatakua yanajazia mafuta kwenye kituo cha kiongozi gani.!!

nimeshindwa kuchambua tatizo liko wapi kwenye sentensi yako?
a) huyu mtu ni kiongozi?
b) huyu mtu anakituo cha mafuta?
c) haya mabasi yatakua yanajaza mafuta?
d) yote matatu?
 
The traffic lights are meant to give preferences for the Buses. see how they work below. I though BRT was to discourage private cars in town hence no jams.

Hizo Ngazi ni aina fulani ya Uduanzi tu... bora zingekuwa za Umeme i try twice yaani zinachosha mzunguko mrefu sana...
 
kuna haja dart na treni zikaungana na shirika la kupeleka mizigo mikoani likawa jingine bila kusahau barabara ziandaliwe kwa miaka 50 ijayo. Nikishuka tazara nachukua dart bila kuongeza nauli etc
 
Back
Top Bottom