Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Morroco Tayari (Morroco square karibia inakamilika, mall ya uhakika by NHC)
Hii miradi ingejengwa kwa approach ya PPP ingekuwa vema sana ingeenda haraka. Ni heri nilipe nauli ya sh 1500 one way nafika ofisini msafi kuliko kutumia sh 20000 ya mafuta. Ingawa kwa wanyonge sh 1500 inaweza kuwa kubwa. Au nikalipa sh 1000 per day kutumia highway nikafiak ofisini na gari yangu ndani ya 45 minutes kuliko kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa mawili.

Please ring road ziangaliwe pia-nikitoka mbagala mpaka tegeta kwenye highway kupitia pugu kajiungeni , temboni etc.
 
Investor wajiandae kujenga malls kwenye vituo bila kusahau parking spaces.

04.jpg



14344174_1201547899896637_7116896425104836879_n.jpg
 
Je kuna habari yoyote kuhusu kuendeleza phase 2 kilwa road ..niliskia AFDB walikuwa washatoa hela
 
Napendemkeza Phase nyingine barabara toka Mbagala chanika bangulo new muhimbili then wazo.
 
June 2018 wanaanza ujenzi....
Mradi wa BRT Mbagala unasuasua. Unaweza kutoka Rangi Tatu mpaka Bendera tatu usione hata mtu mmoja akifanya kazi.

Miaka miwili imepita na kazi sidhani kama imefikia asilimia 20. Kwa kasi hii mradi unaweza kuchukua zaidi ya miaka 15 mpaka kukamilika. Tatizo ni Nini?
 
Imagine tunaenda Phase 4 soon, Phase one Completed, Phase two ongoing, Phase three Ongoing, Phase four tender awarded and signing done.
 
Back
Top Bottom