NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,331
- 47,068
KAMATA TERMINAL
MSIMBAZI STREET
Nikileta mabasi yangu ya Ghorofa niyapitishie wapi au ndio au kuna njia nyingineyo zaidi? old Morogoro road?
yap, wangetuwekea tram, subway itakuwa garama zaidi, ila tram/train ni rahisi zaidi kuanzia kama kibaha au kibamba hadi posta pande zote mbili na vitatembea pamoja kwenye barabara hizohizo tu ila zinaboreshwa kama ilivyo nchi za ulaya. hapo itapendeza sana.Inapendeza sana watuwekee na train za umeme, drainage system mpya
kwa kuwa peru ni nchi mojawapo ambayo DART walienda kufanya uchunguzi na kijifunza wanavyoendesha mpango huu, ni dhahiri watafanya kama walivyojifunza huko, pia walienda india na US, wanaweza kuweka kaukuta ila wabongo walivyowabishi wataingia tuu katika hizo barabara, kuwakomesa ni kuwapiga faini, hapa nilipo kila makutano ya barabara kuna camera, ukivuka taa nyekundu tu, ushapigwa fine, au ukipita barabara za daladala zao, BUS LANE, kuna kipindi katika TV, kikieonyesha wapi kuna msongamani, wapi wanavunja sheria na wapi kuna ajali, watu wanashughulikiwa iasavyo, polisi wabongo wangukua na akili, hata waingekua masikini, ni kuinvest katika security cameras, watapata mapato kibao kutoka kwa wavunja sheria , hata vibaka, maeneo ya watu wengi, du ila nchi yetu mpaka tujute