guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
Mr kuku
Kaka ruge malila ni baba lao mzeee zaidi b 200mkuu kwani kiasi alichonacho huyu na kiasi alichonacho RUGEMALILA na SETH ni nani anakiasi kikubwa?
Hiyo apartment ni between $600-$700Sio masikhara ujue, dola ngapi PM!
Unamjua 'Diii Piii Piii' wa awamu hii ya mjomba Jiwe?Yani watu wamepigwaa parefu mamaee...! Sema jamaa akitafuta wakili imara anaweza chomoa hii kesi alafu akasepa na Mpungaa..
Kuna kitu kinaniambia viongozi wa serikali wapo behind these ponzi schemes everytime zinapotokea.Kijana amebuni njia yake yakujipatia cake ya Taifa, jamaa wa Taifa wameona amezikusanya wameamua kufanya yao.Kwanini wasingemzingua kabla hazijafika kiasi hicho?
Huwezi pata hiyo pesa yako hata mia. Ukienda wanakufungulia kesi ya kushiriki upatu ambao ni kinyume na sheria.Hahaha watanzania wanapenda sana hizi, waweke pesa mahala wao wakalale wakingoja faida.
Hakuna mtu wa kukufanyia kazi ukiwa umelala nyumbani, ona sasa pesa inaenda kutaifishwa na serikali na hamtalipwa, labda mfungue kesi ya madai.
Nilifuatilia tulipigwa biti hilo hadi nikasema labda nisije kuoata wadhifa serikalini ile hela italipwa na riba....Hivi zile za DECI zilisherudi?
Hakuna pesa ya mtindo huo Mkuu, kila siku wanalizwa lakin hayakomi tu tangu lini pesa inatafutwa kwa kutumia vikundi, eti mtu ufanye nae share, vicoba, na sijui jumuiya hapa wajanja ndio watakao kula. Baadae inaanza migogoro na maujinga kibao hata kampuni tu zinaleta shida sembuse hayo ya kumwamini mtu.
Pesa hutafutwa na mtu binafsi na si vinginevyo.
[/QUOTEmjini wajinga hawaishi mkuu
Wazee wa risk taker wote wameingia mitini.