Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,689
- 3,265
Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano.
Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani.
Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta upinzani toka ndani yao wenyewe?
Hoja za wapinzani hazina mashiko hadi ziwahangaishe na kuwatesa CCM kuzijibu?