namuongelea MM wa JF nenda chunguza rudi unijibu hapa, katu hatoenda ubalozini, atakuwa the next salva.Siijui ila watu wa media huishia ubalozini!. Ben, Choks, Nkurlu, Maura so does Sal, Prem etc, Michu atafungua media yake, alianza na blog, sasa ana web site, photo studio, gazeti, anasambaza net, atafungua TV yake, ile michuzi blog itakuwa live!.