Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Nakubaliana na wewe, tuna mambo kibao ya msingi ya kujadili na picha ya rais sio issue!, ila kama kazi yako ni kupiga picha, tenda ya kupiga official potrait photo ya rais ni issue!. Tangu tumepata uhuru, official Potrait ya JK ndio kwa mara ya kwanza imepigwa na mpiga picha mzawa tena he rose from the streets!, sasa amekuwa ndiye mpiga picha rasmi wa Ikulu!. This is an issue kuwa efforts pays!, ukijituma inalipa!.Kuna mambo ya msingi sana ya kuongelea na kutenda.... PICHA YA RAIS SI ISSUE...!!!