Mpiga picha wa Rais ni nani kati ya hawa?

nakumbuka mwaka 98 Michuzi alikuwa anatathmini Soka kwenye TV yeye pamoja na Dr Licky...
Dah Tanzania kila mtu anaweza kila kazi
 
nakumbuka mwaka 98 Michuzi alikuwa anatathmini Soka kwenye TV yeye pamoja na Dr Licky...
Dah Tanzania kila mtu anaweza kila kazi
Enzi zile kuna TV za BLACK & WHITE ambapo huwezi kutofautisha rangi ya Michuzi (mpingo) v/s Dr.Licky (White)
 
Michuzi ni kiherehere wakujikomba ili tumbo lake lipate kitu, mwakumbuka alivyoshupalia kuwapongeza waliotengeneza filamu fake ya ugaidi? Huku akijua si kweli
 
Back
Top Bottom