Chabo tena????Nahama kanisa!!!!
Ukali kwani unahusu???Uzuri ni wa ndani sio wa nje bwana!!!
Babu kakimbia...mpaka asema ai du ndo inakua ofisho!Du kweli umdhamiria ila babu kashasema tayar kwasababu umekubali matakwa yake ya kubadlisha avatar sasa si wengine si tusign out au bado unahitaji kutuchakachua mpaka upate??? basi poooouuuwa mi Mkali zaid yao maana vigezo vyote walivyotaja hao mi nimewazidi...........
Ukibadiri mashart ni PM plz
Babu kakimbia...mpaka asema ai du ndo inakua ofisho!
haya sasa nipo tayari njoo kwang baby lizzy unapoendelea kuzubaaa wengine watakuwahiii maana vigezo nlivyonavyo ni mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mi ntakunywa Redds.....
Ahhh we sikutaki!!Unaonekana mchoyo kweli....hujawahi kutoa Thanks hata siku moja!!?