Mpenzi wa JF!!

Kutoka 37.5 mpaka 56 ndani ya dakika 10 tu??Haya bwana!Nwyz kama una nia njia iko wazi!

Kwanza badili avatar, hilo ni sharti la kwanza. Haiwezekani jamaa likufaidi hapo kwa avatar wakati mi nakufaidi kwa keyboard!
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako,kuna mkaka alituma post ana qualificattion zote akasema wasichana walioko serious wa PM, unaweza mtumia PM.mimi nimemtumia,ili aangalie achague.All the best!
Asante mwaya!
 
Kwanza badili avatar, hilo ni sharti la kwanza. Haiwezekani jamaa likufaidi hapo kwa avatar wakati mi nakufaidi kwa keyboard!

Hahaha...ngoja niweke ambayo nakufurahia wewe!
 
Mkuu umetoa vigezo vingi,mojawapo ni umli usiyopungua miaka 20,lakini ujatuambia hasizidi miaka mingapi!au umri ni unlimited hata miaka 80 unachukua tu mkuu huna ubaguzi,safi sana mkuu!!
 
Thatha we dada we una vigezo vingi juu yetu wewe je nmkali maana isije ikawa heeee si unajua tena na wewe vipi umesimama yaaan unalipaaaaaaaaaa
 
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!
Umepata, kwanini hutaki mambo ya tume ya taifa ya uchaguzi? i mean kuchakachuana
 
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!

Mimi nina vigezo vyote ulivyotaja kwa hiyo ninakufaa kabisa.

Tatizo langu ni wivu tu, huyo jamaa anayekunong'oneza, halafu inaonekana huko kwenye kiuno amekikumbatia, sasa hiyo imeharibu mapenzi yooote niliyokuwa nimeyaandaa kwa ajili yako.
Kama unadhani hakufai na utanihitaji, basi mwambie akuachie mara moja na aondoke asirudi tena.
 
Mkuu umetoa vigezo vingi,mojawapo ni umli usiyopungua miaka 20,lakini ujatuambia hasizidi miaka mingapi!au umri ni unlimited hata miaka 80 unachukua tu mkuu huna ubaguzi,safi sana mkuu!!

Ubaguzi sina kabisa....kila mtu anahitaji mwenza...hata hao wazeee!!!
 
Thatha we dada we una vigezo vingi juu yetu wewe je nmkali maana isije ikawa heeee si unajua tena na wewe vipi umesimama yaaan unalipaaaaaaaaaa

Ukali kwani unahusu???Uzuri ni wa ndani sio wa nje bwana!!!
 
Mimi nina vigezo vyote ulivyotaja kwa hiyo ninakufaa kabisa.

Tatizo langu ni wivu tu, huyo jamaa anayekunong'oneza, halafu inaonekana huko kwenye kiuno amekikumbatia, sasa hiyo imeharibu mapenzi yooote niliyokuwa nimeyaandaa kwa ajili yako.
Kama unadhani hakufai na utanihitaji, basi mwambie akuachie mara moja na aondoke asirudi tena.

Nimempiga kibuti tayari!!!Alafu kama ni wivu ndo kabisaaa mapenzi yananoga!!!
 
sasa Lizzy, Je mtu akitaka wewe uwe mpango wake wa nje?
hapo vipi anaweza akapata hiyo nafasi?
 
Nakupa dakika tano, otherwise nabadili mawazo nakuacha na hilo limjamaa lililo nyuma yako.

Na Amri yangu hii umeitekeleza; hii inamaanisha mimi ni mali yako halali hapa JF na sipendi kushea na mtu.

Thread Closed...Lizzy thibitisha kwa kunigongea Senksi! Wenye wivu wakasaini mkataba wa Dowans kule.
 
du, nchi yetu inapaswa kuwa na viongozi majasiri kama babu hapa!!!!!!
ubabe na undava mbele kwa mbele!!!!!!
Hepi nyu yia BABU!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom