Mpasuko Chadema

Kwa iyo wewe unafurahi cdm ikipasuka au unakasirika? Iyo mada yako ingekuwa insha ya darasa la tatu kisha uwaambie watunge title,wengi wangesema : mpasuko ccm, wengine wangesema mwandishi alikuwa au amelewa au anaishi milembe Dodoma! Great thinkers wanaojua posts za Zomba hawatashangaa hata kidogo. Ila kwa hii thread umejitahidi kidogo kuficha ujinga wako,hujaweka udini na wala ujamtaja mtu bali umeandika ili ujaze screen yako kisha upost! Hongera.
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...
Makamba2(5).jpg
 
Labda sio Tanzania, Tunisia wakifanya maandamano zinatumika risasi baridi. Hapa, wewe mwenyewe unajuwa, sina haja ya kukukumbusha.
Nionavyo mimi ZOBA katoa na facts azianazo yeye tujibu izo facts badala ya kupoteza muda kwa kupinga bila hoja.
 
Umenena, watu kama wewe mkiwa viongozi Chadema, mimi ntahama CCM.
 
Kwa iyo wewe unafurahi cdm ikipasuka au unakasirika? Iyo mada yako ingekuwa insha ya darasa la tatu kisha uwaambie watunge title,wengi wangesema : mpasuko ccm, wengine wangesema mwandishi alikuwa au amelewa au anaishi milembe Dodoma! Great thinkers wanaojua posts za Zomba hawatashangaa hata kidogo. Ila kwa hii thread umejitahidi kidogo kuficha ujinga wako,hujaweka udini na wala ujamtaja mtu bali umeandika ili ujaze screen yako kisha upost! Hongera.

Ahsante sana , lakini hujajibu hoja.
 
Hakuna haja ya kuenda mbali, hata hii ni pumba!

Ikiwa mchele unaouona pumba? sijuwi nikuweke kundi lipi? la wataka maendeleo au wapinga maendeleo? Au Yanga wewe? maana Chadema wote Simba!
 
Umenena, watu kama wewe mkiwa viongozi Chadema, mimi ntahama CCM.
Kumbe hoja yako ni kwa sababu upo CCM? Sisi wenzio hatupo CCM wala Chadema tupo huru kuchangia mawazo huru. Bahati mbaya wewe huwezi hata kumpinga Mary Chatanda aliyeshiriki kufinyanga demokrasia. Hata Makamba anayeua Chama chako kwako poa tu. Hata Kombani na Werema wanaompinga Rais wao kwako dole. Hata mgawanyiko uliopo baraza la mawazri wewe kwako sio tatzo ila tatizo ni Chadema
 
Mwanafunzi mwingine wa makamba. Angalia sana aisee,yeye mwenyewe anategemea lifti ya ndege ya mkulu na familia yake siku ya kukimbilia hukooo....(refer mambo ya Tunisia). Kindege chenyewe kidogoo,we haumo aisee...grow up!!!

Wishful thinking.
 
Kumbe hoja yako ni kwa sababu upo CCM? Sisi wenzio hatupo CCM wala Chadema tupo huru kuchangia mawazo huru. Bahati mbaya wewe huwezi hata kumpinga Mary Chatanda aliyeshiriki kufinyanga demokrasia. Hata Makamba anayeua Chama chako kwako poa tu. Hata Kombani na Werema wanaompinga Rais wao kwako dole. Hata mgawanyiko uliopo baraza la mawazri wewe kwako sio tatzo ila tatizo ni Chadema

Hao Chadema wote hata viongozi walitokea wapi?
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

na mipasuko ndani ya CCM, je?
 
Kama vile ya wengine kususia hotuba ya Rais na wengine kususia agizo la Mwenyekiti na kutokufika kabisa ukumbini?
Rais wako ameaibika sana wewe unashangaa Cahdema ktooka wote. muulize hoja ya katiba ameitoa wapi bila kikao chochote cah CCM kama sio mtikisiko toka upinzani? Ndoto za fisi kusubiri mkono wabinadamu uanguke jambo ambalo hailtatokea kamwe. Wait and see 2015 CCM inazikwa
 
mimi nadhani umefika wakati wa kukubali makosa na kuanza kuyashughurikia mapema iwezekanavyo,sio kila jambo liwekwalo hapa juu ya chadema lina lengo la kuiyangusha ama kuichamba chadema,tuwe wenye kupima na kukubali na kuona ukweli kwa yale yatokeayo na ikiwezekana tuyatafutie dawa

kinacho nishangaza kwa chadema sisi ni kuwa hatukubali kuwa kuna tatizo na tunajifanya hatuoni yaliyotokea huu ni mwelekeo hasi kwa viongozi walio makini na walioive kisiasa
inamaanisha hata tukipewa nchi haya ndiyo majibu tutakayo kuwa tukiyatowa kwa wapiga kura wetu,kwani kila jambo linaloangukia kwetu chadema ilimradi tu limeonyesha kushindwa kwetu huwa hatuko tayari kukubaliana nalo na hata hatuko tayari kulitaftia uvumbuzi

zaidi ni kimtusi mtoa mada kana kwamba alichokitowa hakikufanyika ARUSHA.
Tubadilike kama kweli tunataka kuwaongozi WTZ tuondoe fikra hasi na mgando tulizonazo juu mada zote hasi kwa chadema,si kila siku CDM Tuko safi some times kunamatatizo na nilazima tuyakubali na kuyataftia ufumbuziiiii
MSEMA UKWELI HAPENDWI DAIMAAAAAA

mapinduziiii daimaaaa

Waeleze hawa wasiyaona hayo, hawajuwi kama siasa ya sasa hivi ni ushindani, kama unahitaji kura zaidi lazima urekebishe makosa na kuvutia wanachama wapya wa kukupa hizo kura, kwani kwa sasa ndio hivyo tena, 20%.
 
Walitoka tumboni mwa Mama zao

Kwa kujulia mambo wewe, nakusifu, naona wao walikuwa hawajui hilo, kuwa hakuna mmoja wetu aiyetokea huko, ni vizuri umeweka wazi, labda hapo ndipo watapo tia akili na kusikiliza muono wa wengine waliotokea huko huko.
 
Rais wako ameaibika sana wewe unashangaa Cahdema ktooka wote. muulize hoja ya katiba ameitoa wapi bila kikao chochote cah CCM kama sio mtikisiko toka upinzani? Ndoto za fisi kusubiri mkono wabinadamu uanguke jambo ambalo hailtatokea kamwe. Wait and see 2015 CCM inazikwa

Nadhani Rais kawaaibisha Chadema na juzi UDSM ndio kabisa walipowekewa bayana kuwa hii si katiba ya kwanza Tanzania na zote zilikuwa zikibadilishwa na mtu mmoja tuu, Nyerere, na kwa mara ya kwanza JMK kasema atawashirikisha wananchi, nadhani hilo nalo jambo kubwa sana hapo. Au wewe unaonaje? ikiwa hiyo ndio kulazimishwa na Chadema na akakubali, sasa unamuweka wapi mtu kama huyo? na alipokubali kuweka tume ya katiba ilikuwa kabla au baada ya maandamano yaliyouwa Arusha?
 
Back
Top Bottom