Mpasuko Chadema

CCM 2005= 80.2%
Chadema 2005= 6%

2010
CCM= 61.2%
Chadema= 26.4%

Ubunge
2005
CCM= Wabunge zaidi ya 200
Chadema= 11

2010
CCM =180+
Chadema= 48

Ruzuku
2005-2010
CCM= Bil 1.3
Chadema=Mil 59

2010-2015
CCM= mil 800
Chadema= Mil 203

Serikali za mitaa
2005
CCM=Zote ispokuwa Karatu, Kigoma na Tarime
Chadema= Karatu, kigoma, Tarime

2010
CCM= Zote (pamoja na michezo ya kina Chatanda) isipokuwa Arusha, Karatu, Ukerewe, Mwanza Hai Kigoma, Kasulu, Kibondo, Moshi n.k
Chadema= Karatu, ukerewe, Mwanza, Hai, Kigoma Moshi, na majoirty Ausha, Mbulu, Hanang, Mbeya, Kinondoni, Moshi vijiji, rombo, Karagwe, Songea, Singida, shinyanga, busanda, Geita, Kasulu n.k

Unasemaje bwana Zoba samahani Zomba?

Naona umesha jijibu mwenyewe, na mie sina la zaidi kwa hilo, umekubali kabisa matokeo na huo ndio msingi mzuri.
 
Heshima kwako Mwera,

Mkuu vipi mbona povu linakutoka hivi nani asiyejua magazeti ya Uhuru,Mtanzania na Habari Leo yamekuwa yakitetea kila hovu la chama na serekali iliyoko madarakani.Kwa taarifa yako gazeti la Tanzania Daima halina maana linapokuja suala la kuisulubu CHADEMA mtu makini huwezi kupata habari mbaya za CHADEMA TD.
Heshima kuu kwako pia ngongo,uhuru tunajua gazet la ccm,na tanzania daima linamilikiwa nanani?nisaidie mkuu.
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

Kisha nasi Wanachadema tukaona kuwa wewe ni kibaraka wa wahujumu uchumi na wajaza matumbo na warafi, macoward, majuha WanaCCM!
Teh teh teh teh
halafu nikaona kuwa ujira wako katika kueneza madudu haya kwa cc Magreat Thinkers ni mdogo sana tena chini ya dollar1,
halafu nikaona kuwa mwisho wenu umekaribia na kwataarifa yako end of diz mess those whom u blags to be with they r going to flee the BongoLand n leave u here with nothing coz inavyoelekea hujishughulishi kujikwamua mwenyewe zaidi ya kueneza injiri za kishetani-kifisadi.
Tutakuchalaza bakora makalio yako zen tukutupe keko.
Eventually it will b end of your cowardship nyambafu!!!
 
Zomba,zomba,,,sielewi kwa nini unajaribu kupotosha ukweli kwa makusudi,,,hujui hata vyeo vya chadema Fundikira ni mwenyekiti wa baraza la wazee mkoa,na hakuna mwenyekiti wa wenyeviti,,hii inaonyesha jnsi usivyofikiri,,dhambi hii ya uongo haitakuacha,,,,Eee Mungu naomba uwasamehe maana hajui utendalo
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

Kaka Zomba wasikuseme sana mimi naendelea kukuombea hayo mapepo yakutoke maana sisi wana wa Mungu hatucheki wala kuwasema wagonjwa. Karibu pia kwenye ibada kanisani kwetu.
 
Lipi hilo?lile alilokuwa anasalisha Slaa, kama hilo nytakuja maana huko kupora wake za watu ruksa!
 
ZoBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA utapasuka msamba! Chadema si ya kufa leo hata kesho!!!!!!!!
 
kwani ni misiba mingapi ya chama cha mapinduzi haihudhuriwi na viongozi wote wawe wa kitaifa au hata wale wa ngazi za mikoa na wilaya? mimi nadhani unahitaji msaada kutoka kwa wataalam wa protocal maana unawahi sana kutumia neno mpasuko
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

Humu inaelekea tuna wapiga ramli wengi sana. Maana mtu anafikia kwenye conclusion nzito kwa vielelezo ambavyo ni weightless. Kweli kuna kazi, huenda hii inaashiria ni jinsi gani nchi yetu ina wapiga porojo wengi. Not worth to discuss.
 
natumaini uko radhi hata kwenda kwa YAHAYA ili tu uiue CDM, kazi kweli kweli
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

kuna watu bado hawaamini kabisa kwamba Watanzania sasa si mabwege tena.
 
Zomba, inaonekana wewe ni walee waliozaliwa kabla ya uhuru na kukulia chini ya tanu na ccm. Una mawazo ya kizee (yaliyopitwa) na wakati. Sasa strateji yako ya propaganda wakati huu wa utandawazi ni mbovu saaana na haitoweza kufanikiwa. Jaribu kutumia gia nyingine. Ni ushauri tu.
 
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

1) Kususia Hotuba ya Rais

Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.

2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.

Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.

Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.

3) Sakata la Arusha:

Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.

Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.

Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.

Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...

inawezekana kweli kuna mpasuko unaousema, lakini unapaswa kujua yafuatayo:-
1. Watu wengi ni wanafiki sana, angalia serikalini mambo yalivyo waziri anasema uongo na nijambo la kawaida, hata rais wanasema uongo watu wanakubali leo iweje CHADEMA kuwa na mpasuko? ndani yake kuna watu walioingia wanakiharibu chama na wengine huenda wananunuliwa kufanya hivyo. Angalia ilani ya CCM 2010-15 wanasema wamekuza uchumi kufika 6.7% 2010 wakati kunaripoti ya 2004 inasema uchumi ulikuwa hivyo 2004.
2. Tunaweza kusema mapungufu lakini si kwa mtazamo wa kufurahia bari kujengana.
 
Back
Top Bottom