Lema aiagiza Chadema impe Kadi ya Uanachama Rais Samia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,048
142,160
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini ameagiza Uongozi umpatie Kadi ya Uanachama Rais Samia

Lema amesema Chadema haitavumilia kuona Rais Samia anatukanwa na Mawaziri Wote wakiwemo Mwigullu, January, Nape, Ummy, na wengine Wote

Lema ameagiza Zoezi la kumpatia Rais Samia Uanachama wa Chadema lifanyike haraka

Credit: Tanzania Abroad TV

Nawatakieni Sabato Njema 😄
 
Kumbe hiyo ndo list inayoongoza kumtukana rais! Duh sijui hao mawaziri wanamchukuliaje huyo rais! Yaani kawapa vyeo vya kufuru, pesa wanaiba na hawawajibishwi, miradi hewa mingi wanazindua halafu na matusi juu🤔🤔
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini ameagiza Uongozi umpatie Kadi ya Uanachama Rais Samia

Lema amesema Chadema haitavumilia kuona Rais Samia anatukanwa na Mawaziri Wote wakiwemo Mwigullu, January, Nape, Ummy, na wengine Wote

Lema ameagiza Zoezi la kumpatia Rais Samia Uanachama wa Chadema lifanyike haraka

Credit: Tanzania Abroad TV

Nawatakieni Sabato Njema 😄
Imakulata (Lema) ana shida kubwa saana.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini ameagiza Uongozi umpatie Kadi ya Uanachama Rais Samia

Lema amesema Chadema haitavumilia kuona Rais Samia anatukanwa na Mawaziri Wote wakiwemo Mwigullu, January, Nape, Ummy, na wengine Wote

Lema ameagiza Zoezi la kumpatia Rais Samia Uanachama wa Chadema lifanyike haraka

Credit: Tanzania Abroad TV

Nawatakieni Sabato Njema 😄
The tables are turning so fast!

Safety belts muhimu this time around.
 
Back
Top Bottom