Movie zangu kali za utotoni!

Kuna movie nimesahau jina lake,ila kuna watoto walichezea mtambo wa umeme wa baba yao,ukawageuza wakawa wadogo kama sisimizi,basi tone la maji kwao ni mvua,ng'e wanamuona kama tembo,sharubu za paka wananing'inia,nyuki ndio ndege yao,nyasi za ardhini wanaona bonge la msitu,mwenye kujua jina la hii movie naomba aniambie,yaani mpaka leo imepita miaka kama 10 ila nahamu yakuiona tena!!!

Inaitwa Honey I shrunk the kids. part two yake ni Honey I blew up the kid na ya tatu ni Honey we shrunk ourselves!
 
really nice movie post thanks for share .............


0819916.jpg
 
Fist of fury (Bruce lee), Kill Crazy (David Heaveners), Romancing the stone (Michael Douglas, Kathleen Turner, Dan de Vito), Missing in action, Invasion in USA (Chuk Norris), No retreat no surrender,..(JC Van Damme), You only live twice (Sean Connery as James Bond) .., and the list goes on.
 
Kuna muv moja wanajeshi watatu mmoja mweusi wakiwa wanakimbizwa na maadui yule mweusi wakiwa wanavuka mto anateleza na kutumbukia majini afu anang'atwa na mamba vibaya.

nakumbuka kama sikosei ilikuwa inaitwa "THE ADVENTURE" wale jamaa wanapigana na invisible jambazi.
 
Movie ilikuwa inaniliza hii..nakumbukia na mimi ''ya ya''..Govinda was good!

The sound of music, ilinikonga..kuimba na kucheza..Maria

Police academy zote, hoi kwa vituko...nilimpenda Mahoney

Home alone..hata leo naweza iangalia

Matilda

jamani 'matilda' umenikumbusha mbali kweli...home alone,Baby's day out,sister act,sarafina,cinderella ya Brandy,na bila kusahu the sound of music.oh na Coming to America na hadi leo naiangalia''ZAMUNDA'
 
Movie ilikuwa inaniliza hii..nakumbukia na mimi ''ya ya''..Govinda was good!

The sound of music, ilinikonga..kuimba na kucheza..Maria

Police academy zote, hoi kwa vituko...nilimpenda Mahoney

Home alone..hata leo naweza iangalia

Matilda

jamani 'matilda' umenikumbusha mbali kweli...home alone,Baby's day out,sister act,sarafina,cinderella ya Brandy,na bila kusahu the sound of music.oh na Coming to America na hadi leo naiangalia''ZAMUNDA' na blank cheque na Rich rich.
 
jamani 'matilda' umenikumbusha mbali kweli...home alone,Baby's day out,sister act,sarafina,cinderella ya Brandy,na bila kusahu the sound of music.oh na Coming to America na hadi leo naiangalia''ZAMUNDA'

haha you had nice taste! Favorite action movies: lucky seven, drunken master, Commando, predator n Terminator! God i miss the 90s
 
kuna movie nyingine hiv makomando walienda uaharabun afu mwishon jamaa m1 anachomwa kisu cha mguun alipokua kakanyaga bom,dah hiyo muv nakumbuka ilikua noma. Kuna m2 anaikumbuka jina limentoka kabsa

Nadhani inaitwa The Delta force kati ya 3 or 4

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Me nilikuwa naipenda ya kihindi Andhaa Kanoon, yule stering jina limenitoka alivyokuwa analipiza kisasi kwa maadui waliomuua baba yake na kuwatesa wao, yani hainiishi hamu

Umenikumbusha mbali sana. Andhaa kanoon Ñî my best Indian movie. Starring Ñî amhitar bachan
 
Kuna movie moja hivi niliiangalia zamani sana, ma stering walikuwa kama watano hivi au zaidi na mapikipiki yao na makofia kama cowboys, sijui ilikuwa inaitwaje!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mumemsahau na huyu...
BILLY BLANKS hapa ni kwenye THE KING OF THE KICK BOXERs ilikuwa boonge moja la picha...
View attachment 55400 View attachment 55401 View attachment 55402
embu check hicho kitu The king Of The kickboxers - Loren Avedon vs Billy Blanks - - YouTube
Hii Movie walai sikuwahi iona utotoni niliazimwa Mkanda na Rafiki yangu nikaibeba kwenye begi si navuka road huku nakimbia gari ule mstuko wa mbio begi liakakatika mikanda likaangukia barabarani gari likaupitia kwa juu ile kufungua begi mkanda wa Video umepasuka ngoma ikawa kudaiana... nilivyokuwa ndio nilikuja kuitizama lol Huyo Loren ndie aliyeigiza Movie ya No Retreat no Surrender Safi sana
 
WARBUS, Moja jina imenitoka, wenyewe tulikuwa tunaiita "KOMANDO KIPENSI"
 
nakumbuka kama sikosei ilikuwa inaitwa "THE ADVENTURE" wale jamaa wanapigana na invisible jambazi.

nadhani umechanganya mkuu hiyo movie ilikuwa inaitwa "THE HARD WAY"mniga anang'atwa na mamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom