kuna mmoja mpaka leo siijui jina tulikuwa tunaiita Komando kipensi
kuna movie nyingine hiv makomando walienda uaharabun afu mwishon jamaa m1 anachomwa kisu cha mguun alipokua kakanyaga bom,dah hiyo muv nakumbuka ilikua noma. Kuna m2 anaikumbuka jina limentoka kabsa
Unamaanisha EASTERN CONDORS? Lilikuwa boonge la movie, mr chain anapigana kwa dharau huku akijipepea na kipepeo, mwishoni mawani ilipovunjika ndio akaipata tamu yake!!
EASTERN CONDORS
View attachment 55120 View attachment 55121 View attachment 55123 View attachment 55122
Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!
Commando - Arnold Schwarzenegger
View attachment 55103 View attachment 55104 View attachment 55105
Double impact - Van Damme
View attachment 55107 View attachment 55108 View attachment 55109
Drunken master - Jackie Chain
View attachment 55110 View attachment 55112 View attachment 55113 View attachment 55114
Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...
Umetisha mkuu.
Lufufu anakuambia, "...wapenzi watazamaji wapendwa..." afu unasikia saunditraki "...kandandandaaang..." ni mimi msimulizi wako, Gasper Mkandala Luufufu...
Mkuu nawezaje kuipata hiyo no. 2....The last stand at LANG MEI?CUTE umiepata Jumanji?
Wakuu nikitazama hizi list ni kama machozi yanakuja kuja. Kweli time goes on and on. Inabakia historia.
By the way, mnazipata hizi.
1. Platoon Leader.
2. Last stand at Lang Mei
3. Monkey's trouble
4. Problem child
5. Kilimanjaro (mwenye nayo tafadhali)
6. Universal Soldiers
7. Blind fury (jamaa kipofu lakini noma na kisu chake)
Etc.
mathematics, umenikumbusha mbali sana yani!
mwaka sasaMkuu lufufu amefariki lini ?
Ha ha haa..... hiyo ya komando kipensi inaitwa "DEADLY PREY"Rambo, komando kipesi sijui inaitwaje na ya kihindi ya dada anageuka nyoka.enzi hizo tv kwa jiraniiii acha kabisa!!bila kusahau disco dansa ya mithun chakrabot
Hapo umenigusa.Nani anakumbuka Coming 2 America, nani anakumbuka comedy za Police Academy zipo 1-6 asee zilikuwa ni safi sana. pia kuna disco dancer ya Mithun Chakrabort. Kuna kick Boxing
Wakuu kwa Arusha wapi ntapata hizi old action movies?1.Monkey trouble
2.Babysday out
3.American ninja
4.it takes two
5.freewilly
6. Matilda
7.home alone
Weka Na nyingine
Ha ha haa..... hiyo ya komando kipensi inaitwa "DEADLY PREY"
Mkuu lufufu amefariki lini ?