Movie zangu kali za utotoni!

Mumemsahau na huyu...
BILLY BLANKS hapa ni kwenye THE KING OF THE KICK BOXERs ilikuwa boonge moja la picha...
king5.jpg king1.jpg king2.jpg
embu check hicho kitu The king Of The kickboxers - Loren Avedon vs Billy Blanks - - YouTube
 
Kuna nyingine jina limenitoka, cjui inaitwa nini green, ila hata star times walikuwa wanaönyeshaga, yule m2 alikuwa anaitwa mario man, alipata nguvu za ajabu, kuna kitu cha kijani kilimuingia mwilini, akawa anapaa na kuwa na nguvu za ajabu, ni black america, mwenye kujua jina lake pls,
 
kumbe watu humu wadogo sana, yaani hizo ndo movies zenu za utotoni? kaazi kweli
sisi wakati tupo wadogo hakukuwa na movies hizi za rangi
 
CUTE umiepata Jumanji?

Wakuu nikitazama hizi list ni kama machozi yanakuja kuja. Kweli time goes on and on. Inabakia historia.

By the way, mnazipata hizi.
1. Platoon Leader.
2. Last stand at Lang Mei
3. Monkey's trouble
4. Problem child
5. Kilimanjaro (mwenye nayo tafadhali)
6. Universal Soldiers
7. Blind fury (jamaa kipofu lakini noma na kisu chake)
Etc.
mathematics, umenikumbusha mbali sana yani!
 
Last edited by a moderator:

sikuwai kuiona hii mkuu
 
Enzi izo nilikuwa sikosi mabanda ya video nikisikia wanaonesha movie za jackie chan, brucelee, **** yanki(ndo tulivokua tunamuita)
 
Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!

Commando - Arnold Schwarzenegger
View attachment 55103 View attachment 55104 View attachment 55105

Double impact - Van Damme
View attachment 55107 View attachment 55108 View attachment 55109

Drunken master - Jackie Chain
View attachment 55110 View attachment 55112 View attachment 55113 View attachment 55114

Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...
yani sina cha kuongeza umegusa mulemule
 
Kuna movie nimesahau jina lake,ila kuna watoto walichezea mtambo wa umeme wa baba yao,ukawageuza wakawa wadogo kama sisimizi,basi tone la maji kwao ni mvua,ng'e wanamuona kama tembo,sharubu za paka wananing'inia,nyuki ndio ndege yao,nyasi za ardhini wanaona bonge la msitu,mwenye kujua jina la hii movie naomba aniambie,yaani mpaka leo imepita miaka kama 10 ila nahamu yakuiona tena!!!
 
kweli hata mimi nimeisahau jina ,nakumbuka noliionaga itv kipindi hicho cha 90s, mwenye kuikumbuka jina atukumbushe plse
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom