Movie zangu kali za utotoni!

Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!

Commando - Arnold Schwarzenegger
View attachment 55103 View attachment 55104 View attachment 55105

Double impact - Van Damme
View attachment 55107 View attachment 55108 View attachment 55109

Drunken master - Jackie Chain
View attachment 55110 View attachment 55112 View attachment 55113 View attachment 55114

Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...
Deadly prey(komando kipensi),no retreat no surrender,above the law,lucky seven,anord ya jane,movie zoteee za bushmen(the gods must be crazy),... honourable mention Koyla,loha na teri meheribaniyan......hizi muvi zilifanya utoto wangu uwe mzuri sana
 
๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฆ๐จ๐ฏ๐ข๐ž ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ก๐ข๐ง๐๐ข ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐จ ๐ฃ๐š๐ฆ๐š๐š ๐š๐ฅ๐ข๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ค๐š๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ ๐ก๐ฎ๐ซ๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐š๐ค๐š๐š๐ฆ๐ฎ๐š ๐ค๐ฎ๐š๐œ๐ก๐š ๐ค๐š๐ณ๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข ๐›๐š๐š๐๐š๐ฒ๐ž ๐ฆ๐š๐š๐๐ฎ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ฎ๐š๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐š ๐ค๐ž๐ฌ๐ข ๐ฒ๐ž๐ฒ๐ž, ๐ฆ๐จ๐ฏ๐ข๐ž ๐ข๐ง๐š๐ข๐ญ๐ฐ๐š ๐‰๐š๐ง๐ฎ๐š๐ฅ๐ฒ ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐š๐ค๐จ๐ฌ๐ž๐š.
We unaangaliaga movie za kihindi?
 
Mzee ongezea na hili dude la mwaka 1975...
Kwangu mimi mpaka sasa ndio filamu bora zaidi ya kihindi kwa muda wote...
Amitah,Dharmendra,Amjad khan,Jaya,Hema Malini na Sanjeev Kumar...
Mara ya kwanza kuiona hii filamu ni mwaka 1988 na mpaka sasa sikumbuki nimeitazama mara ngapi,pengine mara mia moja!!
Ila nina uhakika nitaendelea kuitazama tena na tena kwani bado sijaichoka.
SHOLAY...View attachment 2059082
Mwaka 1988?
 
Snake in the monkey shadow, ilikuwa boonge la movie....
View attachment 55370 View attachment 55371 View attachment 55373
View attachment 55374 View attachment 55375 View attachment 55376
kuna hao waliovaa bluu walikuwa wanapiga za kinyoka nyoka za ukweli, walishindikana, ikabidi staring ajifunze za ki-monkey-monkey ili aweze kuua nyoka...
Jikumbushe hapa: Snake in the Monkey's Shadow - YouTube
Naipata hii movie nimeitazama kama mara sita hivi huyu star master wake wawili waliuliwa na jamaa wawili wana mapigo hao yule star alikua kama mcharuko fulani hv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom