Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

Status
Not open for further replies.
ukitaka kula nguruwe chagua aliye nona. mwanadada kanona si mchezo. takotako hata mimi ningetegeka.
 
Hivi hakupumuliwa huyo padri, maana nasikia ndio adhabu wanayopewa wezi wa wake za watu.
 
Biblia imetanabaisha kabisa kuwa mtu akishindwa na aoe.Hawa wakatoliki ni wanafiki sana mie naonaga hata hawa masista zao wakitoa mimba.Sasa wanamdanganya nani?Mungu wanadamu au wenyewe?Jibu ni kuwa wanajidanganya wenyewe.Kwasababu ndio wao wataenda motoni
 
Kuna kila sababu ya hawa jamawaruhusiwe kuoa, kwa kuwa zuio la kuoa si la kiimaani yaani katazo la Mungu basi waruhusiwe tu.
 
Ukiwa mchungaji ukitaka chinja mfugo unachagua ulionona. Naam naona Father considered that.
 
Kile kipengele cha ukiwa padri hutakiwi kuoa inabidi kirekebishwe... Bora huyu anagonga wanawake, lakini ma padri wengi wanawalawiti vijana wa kiume....
Mkuu ukitaka kucheza soka inakulazimu ufuate SHERIA na KANUNI zake. Hawa si watumishi wa Mungu ila wameingia Upandre kuganga njaa, mbona baadhi ya wachungaji na masheik wanafanya haya haya?
 
viongozi wa dini nyinyi ndio mnatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na waumini wenu...sasa kama nyinyi mnaweza kufanya vitu kama hivi je sisi waumini wenu tutaiga nini kutoka kwenu?
 
Kuwa toashi yata moyo paulo alikuwa toashi wa kuzaliwa sasa hawa ndugu zetu wanalazimisha kuitwa matoashi wakati hali hawaiwezi,waruhusiwe tu wawe na familia tu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
bora wewe hujaweka picha....... maana zile picha zilikuwa disgusting. Miili mingine inapendeza ikivishwa nguo tu; khah!
 
Paulo kawafanyia uhuni sana yeye alikua hana nguvu zakiume kabisa sasa nyinyi mapadre mtamuigiliziaje mtu mgonjwa???

Maneno yake ni mwiba na yanachoma wapinga Kristo wote. Poleni sana lakini hakuna namna.....ukweli utazidi kuwauma na mtabaki kutukana lkn neno la Mungu litasimama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom