Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

Status
Not open for further replies.
zamani iliwezekana 'kuwadhibiti' hawa wachunga kondoo kwa kuwaweka maaneo yao na wakitoka hapo wanaenda kwenye jamii kutoa huduma (kuchunga) then wanarejea kwenye misheni. Teknolojia ya sasa imevunja hizo barriers zote na tunaweza kushuhudia haya. Cha msingi tusije kukosea kwa kusample out mtu mmoja then tukafanya judgement ya kundi (kanisa) zima!
 
soma maelezo mimi sijui mkuu ila mumewa atakuwa hana hamu tena aisee lol aibu sana naona bora angefumwa yuko na mtoto mzuri ajabu potelea mbali lol hilo jimama minyama na amejitwika aibu sana.

Taste ndugu yangu!!! kila mtu ana radha zake, mimi mwenyewe huniambii kitu kwa mimama iliyopolomoka nyama kama hilo mama, huwezi amini nimejisikia wivu.
 
Hawa ndio wanatuchafulia taswira ya kanisa letu.. Kwanini alikubali kuwa padri angali anajua hawezi ishi useja
 
soma maelezo mimi sijui mkuu ila mumewa atakuwa hana hamu tena aisee lol aibu sana naona bora angefumwa yuko na mtoto mzuri ajabu potelea mbali lol hilo jimama minyama na amejitwika aibu sana.

Ukitaka kula nguruwe kula aliyenona
 
Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!

Habari za namna hii huwa ngumu kuingia masikioni mwangu. Hapa kuna picha za watu wako uchi, halafu wewe huyo huyo unayetupa habari unasema vyanzo havijaeleza walikuwa wanafanya nini.

Na hili suala la Padri kuwekwa kitimoto na kuhamishwa parokia ndio leo nasikia. Haya mambo nimezoea kuyasikia CCM, mtu akiiba halmashauri hii, anahamishiwa halmashauri nyingine, hii ya Padre kuingilia ndoa za watu halafu akaendelea na huduma ndio nasikia na wewe
 
hahahaahahaahahah dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kufumaniwa noma hapo ungemuuliza 1+1=????????? asingeweza hahahaahah nimecheka sana

hahaha. Nadhan dushe ilikmbia. Fr. katumbua mijicho. Alikuwa anakiona kifo laivu.
 
Huzuni kubwa kwa kanisa.
Adhabu za kikanisa zipo... Na hakuna mahara apanamruhusu kikanisa kufanya maovu hayo..... Kimsingi kuna makosa mawili kwenye jambo hill
1. Mwanaume ni padre..
Haruhusiwi kufanya mapenzi na yeyote, awe mke wa mtu AU asiyeolewa
2. Mwanamke ni mke wa mtu
Mwanamke naye hatakiwa kufanya mapenzi na yeyote isipokuwa mumewe tu...

Lakini naona kama vile ya yule mwanamke aliyefumaniwa... asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia mawe..... Wengi wenu ni kwa vile tu bado hamjafumaniwa ndiyo maana mnalihusisha kanisa na hili... inaweza ikawa kweli yule ni padre, lakini kikanisa haruhusiwi kutenda aliyoyatenda, NI SAWA NA WEWE ULIYEOWA/USIYEOWA UNAPOTEMBEA NA MKE WA MTU.... SI SAWA HATA KAMA NA WEWE SI PADRE
 
uaminifu ndio nguzo. Fr. Ngowi ameshndwa kuwa mwaminifu kwa kanisa.
Mama P naye ameshndwa kuwa mwaminifu kwenye ndoa.
shem, nakubaliana nawe kabisa, na wala simtetei Fr. Ngowi hapa.
Amekosea na amekosea sana. Amemkosea Mungu na amejikosea mwenyewe. wakati anaenda kwenye huu utumishi alijua kabisa anatoa sadaka hali yake ya uanaume, alikubali hilo kwa hiari yake.
Ninachopinga hapa ni kusema hawa jamaa sasa waruhusiwe tu kuoa. mtu unakuwa na choice, kuamua kuoa au kwenda upadre. tena unachagua mwenyewe, ukiwa mtu mzima kabisaaaaaa. kama unaona huwezi ni bora kufanya kitu ambacho unaona utakiweza.
Lakini mara ngapi tumeshuhudia mafumanizi au mining'ono kuhusu watu walio kwenye ndo kutoka nje? tena wengine wana wake wengi tu na bado siyo waaminifu, na wengine ni wachungaji wa makanisa ambayo wanaruhusiwa kuoa lakini bado wanatoka nje. na pia tuna waume zetu home ambao hawajafungamana na upande wowote lakini bado wanatafuta huko nje....... hili swala sasa limekuwa ni zaidi ya kuamua kuwa na mke au la
 
... hii ya Padre kuingilia ndoa za watu halafu akaendelea na huduma ndio nasikia na wewe
Mkuu, ulitaka aache huduma simply kwa kuwa ametenda dhambi? Ingekuwa hivyo sidhani kwa hali ya kibinadamu angebaki hata mmoja asiyetenda dhambi!
 
hahahaahahaahahah dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kufumaniwa noma hapo ungemuuliza 1+1=????????? asingeweza hahahaahah nimecheka sana


Nivea nadhani inatosha maana unacheka mno!
Mie Nasikitika.....nakukaribisha tusikitike wote kwa maana kilichofanyika ni cha kusikitisha kwa pande zote mbili.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom