Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,904
- 156,008
Najivunia zuzumagic wangu, the most handsome, a.k.a the traveller"Sina namna ya kugeuka kuwa wingu la mvua nikaenda kugeuka wingu kubwa la mvua pale Mtera." Alisema Rais Kikwete alipoulizwa maswali na Waandishi wa Habari wakati anatembelea maonesho ya Sabasaba majuzi! Source: Tanzania Daima. My take: Kwa kauli hii Kikwete ataondoka madarakani akiwa hajatatua tatizo la umeme! Kauli nyingine aliyowahi kutoa ni pale alipodai kwamba hajui kwa nini Tanzania ni maskini!