Moja ya Kauli za Kukatisha Tamaa za JK

Sasa wewe umekuja kumponda Rais hapa kwa kukusanya vikumbukumbu vyako visivyokuwa na kichwa wala miguu. Yaani umeishiwa hoja unaanza kuleta chochote kile.

Raisi kama habebeki nifanyeje?.................ila nimefurahi huna upinzani ya kuwa nimemsingizia..................
 
1.Mimba wanazopata wanafunzi wa kike ni kiherehere chao
2.Sijui kwanini Tanzania ni maskini pamoja na rasilimali zote tulizonazo
3.

huyu bwana kama siyo wizi wa kura hivi alichaguliwaje...............................he impresses me as mediocre and autistic too...............
 
Kauli tata au chofu?

yoyote unayoyakumbuka bandika hapa tuweke kumbukumbu za huyu mheshimiwa ambaye yupo kwenye payroll ya hazina lakini hana mchango wowote.............ni mzigo kwenye taifa hili...............changa duniani......
 
yoyote unayoyakumbuka bandika hapa tuweke kumbukumbu za huyu mheshimiwa ambaye yupo kwenye payroll ya hazina lakini hana mchango wowote.............ni mzigo kwenye taifa hili...............changa duniani......

Mkuu ngoja nikachukue hansard yangu niongezee na ilani. Nitarudi
 
Wakuu imekwisha jadiliwa sana hapa JF kwenye thread ya "Rais JK na majibu ya chapchap" nadhani amekuwa sasa ameata au sio brother.
 
Wakuu imekwisha jadiliwa sana hapa JF kwenye thread ya "Rais JK na majibu ya chapchap" nadhani amekuwa sasa ameata au sio brother.

Yeah ishazungumzwa sana hii, great thinkers tuibue mambo/hoja zingine zaidi

sijasikia humu JF ikizungumziwa kauli ya JK kuhusiana na BULLET TRAIN..................tuache majibu mepesi kwa maswali magumu hata kama tunampigia debe JK.................
 
Akihojiwa na BBC akiwa Africa Kusini kuhusu tatizo la umeme na taifa lina mkakati gani wa kulimaliza tatizo hilo .............. aling'aka , "kwani mimi mungu? serikali yetu haina uwezo wa kuleta mvua, .................".
 
Sasa wewe umekuja kumponda Rais hapa kwa kukusanya vikumbukumbu vyako visivyokuwa na kichwa wala miguu. Yaani umeishiwa hoja unaanza kuleta chochote kile.
<br />
<br />
Tatizo lako linaeleweka, nionavyo mie akili yako imeoza kabisa na kama ungekuwa binti basi kwa mfanano sahili ningesema kwa mujibu wa baiolojia ya uzazi umefikia minopoz yaani uwezo wako wa kuzaa kwishinei! Nina mashaka pia na umri wako, kama kweli uko 25 basi ndo kwanza unabalehe kwa hiyo uyasemayo mengi ni upuuzi tu na huna fikra pana, lakini kama umedanganya, basi utakuwa above 50 ama jirani ambapo chembechembe za akili yako zina ditioleti kwa sababu ya ulevi na msongo wa mawazo, kwa hayo napenda kuwasilisha.
 
ukitaka kula sharti uliwe
hahaaaaa haaa!
me nadhani jamaaa hua anashindwa kueklewa kua in politics there is no jokes!
we ukifanya utani chance hyohyo ndo wapinzani wako wanaichukulia sirias na wanaku-attack.
 
"Kuna rafiki yangu Mzungu aliwahi kuniambia kwamba ukifikisha miaka 40 huwezi kuanzisha biashara. Utafilisika"!.
 
wakati baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwemo wa dini wamesahau kauli chofu za jk ambazo zinahoji uwezo wa kuliongoza hili taifa.................mimi nina kumbkumbu zifuatazo ya kauli zilizomshushia heshima jk mbele ya jamii ya watanzania nazo ni pamoja na:-

1) ahadi ya dr. Slaa ya kujenga bullet train itakayo safari masaa matatu toka dar hadi mwanza...............................jk alipokuwa anafunga kampeni zake za uraisi dar alizibeza kwa kusema kuwa............................hayo mawazo ya dr. Slaa................"are absolutely ridiculous".........

Kwa maoni yangu kiongozi who can not dare to dream is unfit to govern.................................the world has always belong to a dreamer irrespective of the final outcome........................................................

Katika karne ya 21 kama huoni tanzania inamiliki bullet train then you must pack your bags and go home.....................because that is where you belong...................


2) alipokuwa kwao bagamoyo, jk alidiriki kuwakandia waathirika wa ukimwi kuwa....................ni kiherehere chao ndicho kimewafikisha hapo walipo.........................................................sayansi inapingana na kauli hii chofu kwenye maeneo mengi......................waathirika wengi wamesogezewa gonjwa hili na wala siyo kuutafuta............hivyo kuwahukumu bila ya kujua sababu za kuupata ugonjwa huo ni kukosa utashi wa zana pembuzi.....................

3) jk ni gwiji wa kulaumu wale wote ambao wanafanya makosa bila ya kujua ya kuwa kama yeye alikuwa ni bora zaidi yao angeliwashauri kabla ya uzembe kujitokeza lakini siyo baada ya matatizo kujitokeza..........................kama mwingereza asemavyo......................are we not wiser afterwards?

kauli tata za jk zipo nyingi anayezikumbuka nyinginezo azibandike hapa.....................................
pumba.
 
Back
Top Bottom