Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

Mnyika: Uongozi wa nchi uchukulie gharama za maisha kama jambo la dharura
 
Mnyika: Wimbi la mabadiliko lina kuja.....kilichomwondoa Banda kule Zambia ni wananchi kuwa concerned na gharama za maisha
 
Mnyika: Serikali kwa pamoja inapaswa kushughulikia gharama za maisha kwa pamoja....anatoa mfano wa kenya ambapo waziri mkuu na rais wanaongoza mapambano ya kushusha gharama za bei za bidhaa muhimu
 
Mnyika: serikali inapaswa kuweka udhibiti katika bidhaa muhimu na sio kuacha zipande kiholela
 
da mnyika naongea maneno mpaka nasahu kuposti kumbe mnyika alikuwa zambia kama mwangalizi wa uchaguzi
 
Mnyika: Watawala kwa sabb wao ndi wako kwenye madaraka kwa sasa wana jukumu la kuhakikisha udhibiti w hali ya maisha
 
Kuna mwananchi wa mbagala anasema wananchi wawe macho na CDM sbb wakiingia madarakakni hawatatenda kama wanavyosema...watu wawaogope
 
Mwingine wa Tandale anasema CDM wakaze uzi japo wanapigwa vita ila taratibu taratibu watachukua nchi
 
Maulanga: kila mwananchi atimize wajibu wake na kila mtu atumie ataaluma yake kupush machinery ya serikali.....tuache kuihujumu nchi kwa kutotimiza wajibu
 
Maulanga: tuendeleze mema na makosa yapo tujirekebishe tusonge....anawasisitiza CCM wenzake watimize wajibu, tatizo anakosa nidhamu anaambiwa anyamaze yy anaendelea
 
Anajibu swali la yule wa mbagala kuwa hata wakati anagombea ubunge wapo waliosema atakuwa kama wale wale tu lakn kinachoendelea ni tofauti......anaomba support ya watu wa Znzb ili CDM nayo ifike huko
 
Mnyika: Tatizo la ajira ni bomu la wakati....anawashukuru watu wa ubung kwa heshima waliyompa na kipindi kimeisha
 
Mnyika: Tatizo la ajira ni bomu la wakati....anawashukuru watu wa ubung kwa heshima waliyompa na kipindi kimeisha

Nicky asante sana kwa updates mkuu maana kipindi kimeisha na ngeleja kaondoka mtaani kwetu ghafla kwa maana kuwa eti umeme ndo unarudi . BIG UP
 
Back
Top Bottom