Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

Anaitwa Maulanga, etianasema hali ya maisha sio ngumu....anasema ni ngumu umefananisha na nchi gani?...huyu jamaa anahisi watu wote wako kama wale anawaona hapa dar
 
Mnyika: Pamoja na shilingi kushuka thamani lazima iheshimiwe kwa kutunga sheria kuzui matumizi ya dola kwa local payments
 
Mnyika: Solution ya kukuza uchumi: Serikali lazima ipungze kununua vitu kutoka nje, ikazanie vile vya ndani na wananchi wajenge utamaduni huo
 
Mnyika: Ufisadi kwenye mbolea uachwe na serikali iwe siriaz kwenye uwekezaji wa kilimo ameombwa namba na ametoa hii: 0784222222
 
Eti mwananchi anapiga simu anaomba mnyika agombee uprezidaa 2015...ha ha ha ha! mtangazaji anamkumbusha kuwa umri utakuwa bado,
 
Mwanachi anapiga simu na kushangaa kuwa siku hizi viberiti na nyembe pia tunaagiza
 
kuna mwananchi anapiga simunanamuuliza huyu Maulanga anayesema hakuna ugumu wa maisha je anatafuta u-DC? au anasimamia kipi?
 
kuna mwananchi ansema ni bora huyu Maulanga asingekuwepo hapo...kiukweli jamaa kama nauza sura pale haeleweki anaongsimamia nn
 
kuna mwananchi anapiga simu anamwambia huyu Maulanga asifikiri watanzania wa leo ni wale wa miaka ya 47.
 
mwananchi kawapongeza watu wa ubungo kwa kulipa kodi kubwa kunywa pombe kamponda mulanga eti yeye sio ssm ni kwa jili tu wanamlipa
 
Mnyika: Pamoja na shilingi kushuka thamani lazima iheshimiwe kwa kutunga sheria kuzui matumizi ya dola kwa local payments
Ni kweli hatuna sheria,niliwahi kushushuliwa duka moja lililokuwa linatoza kwa dola bidhaa,nilikereka sana.
 
Maulanga: wananchi wawe wavumilivu serikali inashhugulikia shida zao.....ubungo na sinza ni walevi baa ni nyingi kuliko uwezo wa eneo....Tanzania ilikuwa affected kwa Global criss

Nimejaribu tu kuunganisha vile anavyosema maana ye anaunga unga tu huwezi jua sopecifically anaongea nn
 
Mnyika: Tunahitaji kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha watu wapende bidhaa za ndani.....ile perception ya vitu vy Tz ni duni lazima itoke kwa watz wnyw na hili linahitaji support toka kwa viongozi wa siasa
 
Back
Top Bottom