Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

ithangaledi

Member
Jun 4, 2011
84
57
Mbunge wa Ubungo John Mnyika atakuwa live Mlimani Tv kujadili kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na namna ya kuchukua hatua stahiki. Kwa wale waliokuwa na wanajadili muda mfupi uliopita kuhusu suala hili pamoja na wana-Jf wengine ni muafaka wa kusikia live kutoka kwake.
 
tayari kipindi kimeanza mongoza kipindi ni dam mbaya yupo pale kamanda mnyika kuna jamaa yupo pale kama gamba fulani vle
 
mada uwekezaji jamaa kamponda mbowe eti anatengeneza sehemu za starehe badala ya sheemu za maendeleo sijui ni zipi
 
mnyika anachana kweli kweli kamjibu risasi kwamba kama ni pombe ndo serekali ya magamba inako chukulia kodi
 
wasikilisaji wanamponda jamaa limevaa magwanda ya chadema alafu ni gamba watu wanamchana kweli
 
Mnyika anasema moja kati ya mambo muhimu ni kusimamiwa kwa sheria ya matumizi ya Tsh. ili kuhakikisha wawekezaji na malipo yyte yafanywe kwa Tsh badala ya US$ kama ilivyo kwenye baadhi ya makampuni/taasisi
 
wachangajiaji wanamshushua jamaa kwa kuvaa nguo za pipoz afu anawaita wakazi wa ubungo na sinza walevi badala ya kujadili ishu ya uchumi
 
huyu mgeni mwingine aliyeko studio anasema watu wa sinza ni walevi sana eti ukimleta muwekezaji hawezi kuwekeza sbb ataona watu walevi....wananchi waliopiga simu wamemkomalia awaombe radhi....jambo alilokumbushwa kuwa ni kuwa hayo mambo yameachiwa kuwa hivyo na chama chake cha ccm
 
risasi kambiwa aombe radhi jamaa anamumunya maneno uyo mnyika anamcheki tu
 
Back
Top Bottom