Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

One thing which differentiate Hon John Mnyika from CCM MPs even MPs from his party is PERRUSING......anasoma kila kitu kwa kila sekta na ndo tofauti aliyo nayo dhidi ya Zitto.....Zitto yeye anasoma vitu ambavyo yuko interest navyo so kwenye baadhi ya mambo anakuwa mweupe.....afu si mnajua dogo kasoma Seminary sasa kule bila kusoma NOVAL zaidi ya mia unaonekana sio,,,,,tegemeeni mambo makubwa zaidi toka kwa John
 
Marekebisho ya sheria ya biashara yamefanyika leo bungeni, tumemshuhudia mbunge wa jimbo la ubungo Mh. John Mnyika akifanya kazi aliyotumwa kutunga sheria bungeni ya kuikaba serikali kwa hoja nzito kuhakikisha sheria inayokusudiwa kupitishwa haiwi na mapungufu, Mbunge wa Iramba Magharibi ulikuwa wapi? ubovu wa vifungu hukuuona? Unijibu mwigulu nchemba!!!! kwa nini umemwachia mbunge wa chadema pekee? au hujui wajibu wako bungeni!!!
 
Unamuuliza ukiwa kama mpiga kura wake au basi tu kwasababu umemuona yeye ndio mbunge peke yake ambaye hakuchangia ktk wote waliokuwepo?
 
Unamuuliza ukiwa kama mpiga kura wake au basi tu kwasababu umemuona yeye ndio mbunge peke yake ambaye hakuchangia ktk wote waliokuwepo?

A na B yote ni majawabu, vipi nawe ni katibu muhtasi wake?
 
Wabunge wa CCM wanaonekana kuwa na kazi moja tu ya kusema, "NDIYOOO". Kuna mtu yeyote duniani mwenye uwezo wa kuongea atashindwa kusema, "NDIYOOOO"? Wabunge wa CCM acheni ushamba, hamwezi kufanya kazi ya kusema ndiyo tu. Kazi ya kutunga sheria siyo kusema ndiyo peke yake. Hiyo ya kusema ndiyo hata tusioapishwa tunaweza, lazima mufanye zaidi ya hiyo kama anavyofanya Mnyika.
 
Jembe letu Lusinde mbona alikuwa kimya?
Bigup hon Mnyika, mrithi wa slaa baada ya kustafu ukatibu mkuu.
 
Natamani sheria inayopitishwa ipewe jina aka Mnyika. Katoa mchango mkubwa sana. Angalieni tbc, siwezi kuost hoja zake nzito. Mwanasheria mwenyewe kamkubari.

Hongera kwa umakini na kujua sababu yake ya kuwa bungeni. hili linatuonesha umuhimu wa kutuma vijana makini, focused na ambao wana nia ya kuona mabadiliko ya kweli. Ikiwezekana juhudi za kuandaa na kuhakikisha kila nafasi inakamatwa na watu ambao ni damu mpya chapakazi ziongezwe. Ipo siku with 50/50 hata hao wasemao ndiyoooooooooo watajua gharama yake.
 
mnyika kwa kuchangia vipengele vya sheria noma, nakumbuka kwnye bunge la bajet alikuja na karablasha kubwa kuwah kutokea! ilikuwa ni refferenc ya katiba kama ckosei ya malawi. jamaa anaweza.
 
Namkumbali MNYIKA sana,nakumbuka hata ile sheria ya manunuzi alitetea sana maslai akitaka iwekwe azabu kali,pia na january sheria ya Pesa alamu alitaka vivyo hivyo
 
Nathubutu kusema mh. Mnyika kuwa ni jembe, bingwa wa kufikiri. Naamini wote mtakubariana nami. Nasema hili kutokana na uwezo wake bungeni wa kujenga hoja na kukubarika na wabunge wote bila kujari itikadi. Kamanda Mnyika amekuwa bingwa wa kuweka marekebisho katika sheria zinazotungwa. Hata katika bunge la leo jioni linalojaribu kupisha sheria ya usajiri wa makampuni. Amekuwa akifanya hivyo katika sheria nyingi sana.

My take: wabunge wote wakiwa serious kama Mnyika, hakika bunge litakuwa linapitisha sheria nzuri sana. Big up kamanda Mnyika, I salute you.

Nimemsikia, nimemkubali...hawa ndio baadhi ya wabunge wanaonipa raha wasikiliza na waangalia km ninavyoangalia mechi ya bacelona au kuosma Wanahalisi.Kuna baadhi ya wabunge, baadhi ya timu zinagalia nahisi kupoteza hela na muda bure.Kuna magazeti mengine nikisoma heading ktk front page hakuna cha kusoma tena ndani. A good thing kijana hana muda wa kubishana na viongozi wa chama kwani muda unakuja atakuwa panapostahili.
 
One thing which differentiate Hon John Mnyika from CCM MPs even MPs from his party is PERRUSING......anasoma kila kitu kwa kila sekta na ndo tofauti aliyo nayo dhidi ya Zitto.....Zitto yeye anasoma vitu ambavyo yuko interest navyo so kwenye baadhi ya mambo anakuwa mweupe.....afu si mnajua dogo kasoma Seminary sasa kule bila kusoma NOVAL zaidi ya mia unaonekana sio,,,,,tegemeeni mambo makubwa zaidi toka kwa John
Seminary ya kanisa au msikiti gani mkuu, inayotengeneza majembe kama haya? tupeleke wanetu huko.
 
Unamuuliza ukiwa kama mpiga kura wake au basi tu kwasababu umemuona yeye ndio mbunge peke yake ambaye hakuchangia ktk wote waliokuwepo?

linapikuja suala la upitishwaji wa miswaada ya sheria, maslahi ya Taifa ndio kipaumbele sasa wakati ndipo tunapohitaji wabunge wasomi wenye uwezo wa kupambanua including Nchemba
 
Back
Top Bottom