johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema siyo kweli kwamba hii ndio mara ya kwanza Serikali inapeleka IGA bungeni kwani Serikali ya Shujaa Magufuli ilishaleta Mkataba wa Bomba la Mafuta la Uganda na Tanzania
Mnyika alikuwa anatoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari kwamba zoezi hilo lilifanyika 2017 yeye akiwa mbunge wa Kibamba na Wabunge waliufanyia marekebisho kadhaa na kuuridhia
Sabato njema
Mnyika alikuwa anatoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari kwamba zoezi hilo lilifanyika 2017 yeye akiwa mbunge wa Kibamba na Wabunge waliufanyia marekebisho kadhaa na kuuridhia
Sabato njema